hapa ndipo baa wani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. hapana mpango woowte pa ovyo tuuuuuuu, wala sio mahali pa kistaarabu!!!!!!!!!!! upuuzi mwingi watoto wengi hapana hadhi. ovyooooooooooo.

    ReplyDelete
  2. Hapana mpango kwa wewe,ulimbiwa na nani uende kwani?si ungelala tu kwako.we chizi nini.

    ReplyDelete
  3. Kuna vumbi hutazani nini hapo, halafu watu wanajazana mlangoni hutazani magoti bwana.Na pia kwenye kile corridor cha kuingilia watu wanajazana kibao.Kwa sisi mademu tunapigwa vidole kama nini, mimi sitaki kwenda tena.

    ReplyDelete
  4. wewe ndio chizi kujiita mimi aka i hauoni ni psychological problems ambazo unazo. kaa chini na jitafari na utajitambua.

    ReplyDelete
  5. wewe unayesema kwamba hapan mpango wapi kwenye mpango.achane mambo ya kijinga ya kuanza kukandia sehemu zetu za starehe.

    najua watu wanaosema hapana mpango ni watu wanaokwenda msondo ,ilala au vijana jazz band na hasa wengi watu wa kwenda twanga pepeta. hivi unafikiri hapa ni size yako.

    wewe umesikia wapi mwanaume akasema anajisikia raha kulala maternity ward?

    acheni ujinga ongeeni vya maana .sie wafanya starehe wa dar tunaojua nini kupoteza mawazo tuacheni twende bar one.

    LETE RAHA MWANANGU!

    ReplyDelete
  6. Hujakosea ndo watu wamsondo ngoma hao,viwanja hivyo hawaviwezi wanadai havina mpango.wee mbona watu hawasemi huko msondo hakuna mpango?wee vipi bwana kama kiwanja hukiwezi kula kona acha kukandia ovyo.

    ReplyDelete
  7. kuna nchi Asia sikumbuki ni ipi nafikiri japan kuna bar moja imeanzishwa ni ghali sana,ni bar ya kutolea stress mteja unaruhusiwa kupiga wahudumu ,kuvunja chupa,kutukana,ila no kupigana na mteja mwenzio,wahudumu wamevaa nguo za kuzuia vipigo na ni maprofessional boxers,nasikia inajaa sana,nafikiri serikali ya bongo ingeruhusu bar kama hii walau moja tu maana wabongo wana stress sana na maisha na hamna pa kuitolea basi wanaishia kugombana tu wenyewe kwa wenyewe,sasa hii baa hapo juu ina ubaya gani mpaka watu waanze kulia humu kama sio stress tu.

    ReplyDelete
  8. baa gani hio huwezi hata kumshika tako mhudumu

    ReplyDelete
  9. Anony wa 9:24 sehemu ya kutolea stress kwa wabongo si ndio hii tena, nadhani sio lazima baa hata blogu inatosha. Hebu tizama watu wazima wanavyotoa kauli mbofu mbofu na chafu chafu bloguni, yote hii ni STRESS.

    ReplyDelete
  10. Huko tanzania kunaonekana kuna roho mbaya sana na vijicho yaani watu wamekuwa washenzi kweli sijui Nyerere arudi maana watu wanaweza kukula nyama bado mzima na huyu ndugu yangu hapo mwisho aliyesema blog hii ni sehemu ya kutolea stress sidhani kama unajua unachokisema na nyie mlio bongo si msome uhuru na mfanyakazi kwani lazima mje huku kwenye blog

    ReplyDelete
  11. Baa hii ni nzuri tena taa zake kama zambarau, viti vya pastiki, meza za bati tena naona wanauza chips zilizotengenezwa na mafuta ya transfoma,na kuna tu inzi twingi tuu tunalinda bia za wateja kahalufu kazuri kama dampo la nanihii vile,sisi huku bongo tunajivuni vya utamaduni nyie wa ugaibuni je?

    ReplyDelete
  12. Wanaokandya humu lazima ni walewale wenye chuki binafsi na Kinje! Nimewastukia!!!!

    ReplyDelete
  13. nahisi kuna watu hawajawahi hata kufika bar one.........

    kwa mfano ndugu yangu mtu kwao aliyesema kuna mabati, nafikiri muda umefika chukua basi shuka ubungo stand ulizia bar one.ukishafika hapo utuandikie kwamba umeona nini?

    ONYO:
    USICHANGIE KAMA KITU HAUKIJUI.
    AKSANTE SANA
    WANABLOG

    ReplyDelete
  14. Jamani naomba wanablog wenzangu mnielekeze ni wapi huko na mie nikajimwae mwae. Nategemea kuja Dar mwishioni mwa mwezi huu (toka Mbeya).

    ReplyDelete
  15. inapatikana maeneo ya masaki karibu na slipway...........vyema.

    ReplyDelete
  16. Jamani naomba niulize ni sehemu gani Dar ambapo naweza kwenda saa za jioni kwa ajili ya burudani (live) kwa muziki wa taarab? Namaanisha kama vile zamani nilikuwa nikienda Zanzibar pale hoteli ya Bwawani, walikuwa na live band za muziki wa taarab. Halafu hapo Dar, Kilimanjaro Hoteli walikuwa wanakuwa na live band inacheza pale Simba Grill (??) Vitu kama hivyo, je bado vipo nyumbani, na ni wapi naweza kwenda?? Asante sana!!

    ReplyDelete
  17. WAEZA ENDA TRAVETINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA KILA IJUMAA WANAPIGA EAST AFRICAN MELODY, JUMATATU PALE LANGO LA JIJI MAGOMENI MIKUMI PIA MELODY WANAPIGA,ZANZIBAR STAR HUWA WANAPIGA EQUETOR GRILL MTONI KWA AZIZ ALLY KILA IJUMAA/JUMAMOSI.

    ReplyDelete
  18. Asante sana Anony hapo juu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...