Home
Unlabelled
baa wani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapana mpango woowte pa ovyo tuuuuuuu, wala sio mahali pa kistaarabu!!!!!!!!!!! upuuzi mwingi watoto wengi hapana hadhi. ovyooooooooooo.
ReplyDeleteHapana mpango kwa wewe,ulimbiwa na nani uende kwani?si ungelala tu kwako.we chizi nini.
ReplyDeleteKuna vumbi hutazani nini hapo, halafu watu wanajazana mlangoni hutazani magoti bwana.Na pia kwenye kile corridor cha kuingilia watu wanajazana kibao.Kwa sisi mademu tunapigwa vidole kama nini, mimi sitaki kwenda tena.
ReplyDeletewewe ndio chizi kujiita mimi aka i hauoni ni psychological problems ambazo unazo. kaa chini na jitafari na utajitambua.
ReplyDeletewewe unayesema kwamba hapan mpango wapi kwenye mpango.achane mambo ya kijinga ya kuanza kukandia sehemu zetu za starehe.
ReplyDeletenajua watu wanaosema hapana mpango ni watu wanaokwenda msondo ,ilala au vijana jazz band na hasa wengi watu wa kwenda twanga pepeta. hivi unafikiri hapa ni size yako.
wewe umesikia wapi mwanaume akasema anajisikia raha kulala maternity ward?
acheni ujinga ongeeni vya maana .sie wafanya starehe wa dar tunaojua nini kupoteza mawazo tuacheni twende bar one.
LETE RAHA MWANANGU!
Hujakosea ndo watu wamsondo ngoma hao,viwanja hivyo hawaviwezi wanadai havina mpango.wee mbona watu hawasemi huko msondo hakuna mpango?wee vipi bwana kama kiwanja hukiwezi kula kona acha kukandia ovyo.
ReplyDeletekuna nchi Asia sikumbuki ni ipi nafikiri japan kuna bar moja imeanzishwa ni ghali sana,ni bar ya kutolea stress mteja unaruhusiwa kupiga wahudumu ,kuvunja chupa,kutukana,ila no kupigana na mteja mwenzio,wahudumu wamevaa nguo za kuzuia vipigo na ni maprofessional boxers,nasikia inajaa sana,nafikiri serikali ya bongo ingeruhusu bar kama hii walau moja tu maana wabongo wana stress sana na maisha na hamna pa kuitolea basi wanaishia kugombana tu wenyewe kwa wenyewe,sasa hii baa hapo juu ina ubaya gani mpaka watu waanze kulia humu kama sio stress tu.
ReplyDeletebaa gani hio huwezi hata kumshika tako mhudumu
ReplyDeleteAnony wa 9:24 sehemu ya kutolea stress kwa wabongo si ndio hii tena, nadhani sio lazima baa hata blogu inatosha. Hebu tizama watu wazima wanavyotoa kauli mbofu mbofu na chafu chafu bloguni, yote hii ni STRESS.
ReplyDeleteHuko tanzania kunaonekana kuna roho mbaya sana na vijicho yaani watu wamekuwa washenzi kweli sijui Nyerere arudi maana watu wanaweza kukula nyama bado mzima na huyu ndugu yangu hapo mwisho aliyesema blog hii ni sehemu ya kutolea stress sidhani kama unajua unachokisema na nyie mlio bongo si msome uhuru na mfanyakazi kwani lazima mje huku kwenye blog
ReplyDeleteBaa hii ni nzuri tena taa zake kama zambarau, viti vya pastiki, meza za bati tena naona wanauza chips zilizotengenezwa na mafuta ya transfoma,na kuna tu inzi twingi tuu tunalinda bia za wateja kahalufu kazuri kama dampo la nanihii vile,sisi huku bongo tunajivuni vya utamaduni nyie wa ugaibuni je?
ReplyDeleteWanaokandya humu lazima ni walewale wenye chuki binafsi na Kinje! Nimewastukia!!!!
ReplyDeletenahisi kuna watu hawajawahi hata kufika bar one.........
ReplyDeletekwa mfano ndugu yangu mtu kwao aliyesema kuna mabati, nafikiri muda umefika chukua basi shuka ubungo stand ulizia bar one.ukishafika hapo utuandikie kwamba umeona nini?
ONYO:
USICHANGIE KAMA KITU HAUKIJUI.
AKSANTE SANA
WANABLOG
Jamani naomba wanablog wenzangu mnielekeze ni wapi huko na mie nikajimwae mwae. Nategemea kuja Dar mwishioni mwa mwezi huu (toka Mbeya).
ReplyDeleteinapatikana maeneo ya masaki karibu na slipway...........vyema.
ReplyDeleteJamani naomba niulize ni sehemu gani Dar ambapo naweza kwenda saa za jioni kwa ajili ya burudani (live) kwa muziki wa taarab? Namaanisha kama vile zamani nilikuwa nikienda Zanzibar pale hoteli ya Bwawani, walikuwa na live band za muziki wa taarab. Halafu hapo Dar, Kilimanjaro Hoteli walikuwa wanakuwa na live band inacheza pale Simba Grill (??) Vitu kama hivyo, je bado vipo nyumbani, na ni wapi naweza kwenda?? Asante sana!!
ReplyDeleteWAEZA ENDA TRAVETINE HOTEL MAGOMENI MAPIPA KILA IJUMAA WANAPIGA EAST AFRICAN MELODY, JUMATATU PALE LANGO LA JIJI MAGOMENI MIKUMI PIA MELODY WANAPIGA,ZANZIBAR STAR HUWA WANAPIGA EQUETOR GRILL MTONI KWA AZIZ ALLY KILA IJUMAA/JUMAMOSI.
ReplyDeleteAsante sana Anony hapo juu!!
ReplyDelete