Home
Unlabelled
bayi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother Michuzi,
ReplyDeleteTunashukuru kwa picha ya shujaa wetu. Hawa ndio waliolitea taifa letu sifa za kweli katika michezo.
Siku hizi tumekazania kufanya mashindano ya warembo tu.
Ebu tutumie picha ya shujaa Juma Ikangaa pia.
Natanguliza shukrani za dhati.
Bado ninajiuliza hivi siri ya Kenya ninini ambayo haiwezi kuigwa?Maana ukizingatia kuwa ni majirani ,wao wametuzidi sana katika fani hii hivi sasa.
ReplyDeleteBw. Kitururu wenzetu wakenya wanakazani michezo mashuleni; na sio bakset, football na volleyball pekee kama Bongo. Kila mchezo kenya uko juu.
ReplyDeleteBongo riadha ilishakufa mashuleni, miguu, kikapu na volleyball wakati namalizia vilikuwa ndio vipo kwa kujikongoja. Netball nayo ilikufa.. we acha tu.
Wenzetu wanacheza sana yote hiyo ktk ngazi ya yosso iwe mashuleni au mtaani tu.. hata Rugby pia.
Ndio maana kila mchezo TZ inashuka... enzi tulizokuwa tunainvest ktk michezo tulikuwa tunashinda medali kadhaa ktk olympics ktk riadha na pia ktk ngumi za ridhaa. Siku hizi ndondi nayo bila, bila!! Gerezani sijui kama bado tournaments zinakuwepo; na kama zipo sijui wangapi wanahudhuria.
Hii picha ilipigwa wapi?
ReplyDeleteNa kweli, ningeopenda kusikia waTanzania wanashinda ma mamarathon na kuambulia hizo donge nono. Siku hizi ni waKenya na waEithiopia tu!