watoto wakifurahia bembea kwenye maonesho ya kilimo ya nane nane mji kasoro bahari leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. spidi ikichanganyia lazma achomoke mtu

    ReplyDelete
  2. Hivi watu wengine huwa hamchoki kukosoa kila kinachofanyika Bongo?

    ReplyDelete
  3. kama wajua nini maana ya kuzoza basi usingejipa hilo jina.........ongea kutokana na picha inasemaje. wewe umekazania pombe. kuna pombe hapo? au hauoni mzee tukupe miwani ya mawazo nayo uwakilishe.

    hebu tuwe wastaharabu, tunazungumzaje kunywa pombe kwenye bembeaa na penye watoto.

    ReplyDelete
  4. NAONA MZOZAJI UMEAMUA KUSEMA NA KWA KWELI MIMI SIONI KAMA MREKEBISHARIKA ALIKOSEA. NINACHOTAKA KUSEMA NI KUWA NYINYI WOTE HAMJUI MICHUZI ALIFIKIRIA NINI HADI KUWEKA PICHA HIYO NA HUO USHUHUDA WA KUSEMA NINI ROSE GARDEN HAUNA POINT KWA KWELI.

    NINACHOWEZA SEMA NI KWAMBA MICHUZI TUAMULIE ILI TATIZO MAANA WANA BLOGG WAKO WAMEANZA KULANA VIJEMBE.

    NA PILI NI KWAMBA MIMI BINAFSI NAONA WATOTO KWENYE BEMBEA KAMA ALIVYOSEMA MREKEBISHARIKA NA KWAMBA SIDHANI KAMA WAKUBWA WANAWEZA KUTINGA BEMBEA BAADA YA KWENDA KUANGALIA KILICHOWALETA.

    LA MWISHO NASEMA INAWEZEKANA KWAMBA WEWE UNAJARIBU KULETA VITU AMBAVYO HAPA BONGO VIMEANZA KUFANYIKA. MZOZAJI,NAKUULIZA HIVI DEAL WATU WANAONGEA MAENEO KAMA HAYA LAKINI?

    ReplyDelete
  5. Nina wasiwasi kama mzozaji hata shule ulienda na hiyo comment kakuandikia mtu kwanini kwa aliye enda shule kuna kitu akili hutakiwa kupata kukutana pamoja na watu tofauti mfano watoto hao si wa familia moja so hapo kuna kitu watoto wamefaidi +wazazi pia na inawezekana hizo bembea ni toleo jipya so market hapo inatafutwa na wazazi wanapozunguka ktk manbanda kuna kitu boring kwa watoto ukimwacha mtoto hapo unapaata good time kuzunguka .wape raha watoto kama unao kwa vivutio ka hivyo acha ubahili mara moja kwa mwaka sio mabaya not all time si deal making hata hizo deal huwa zinapumzika kwa kubausi.chao!

    ReplyDelete
  6. Ukweli unabaki palepale tunakazania mambo yasiyo ya msingi kama nyie mnavyokazania point zisizo za msingi hapa.Washamba woote hakuna cha mrekebishaji wala nani!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...