nakutana na waheshimiwa ma-dc wapya betty mkwasa (shoto) na sara dumba wakati wa kula nane nane mji kasoro bahari leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Bado wewe tu Michuzi,ugaibuni wengine ndo tunatoka makazini nyie mnakula day off leo.

    ReplyDelete
  2. Beti kanenepa gafla

    ReplyDelete
  3. Waswahili majungu

    ReplyDelete
  4. kapendeza sana ila huyu dada kabla ya make up nasikia anatisha

    ReplyDelete
  5. Lakini tutaendelea na utaratibu huu wa administration mpaka lini,wakati nchi inapata uhuru ilikuwa bado ni busara kuwa na ma- DC na ma-RC wanaoteuliwa na Rais, lakini sasa hivi watanzania wako tayari wameiva, kwa nini tusiwe na chaguzi za ma-DC na ma-RC? huu utaratibu wa kupeana nyadhifa hautusaidii kabisa, tunataka tufike mahali tukawa na hizi chaguzi ambazo wagombea wagombee bila kupitia vyama vya siasa, kwa sababu tukiruhusu wagombee kupitia vyama vya siasa, CCM itateka nyara hizo chaguzi na itakuwa haina maana yoyote.

    ReplyDelete
  6. Michuzi,
    Hilo sheti lako safi sana. Niagizie na mimi moja. Large size

    ReplyDelete
  7. brother nawe huchezi mbali na akina mama,au utasema school mate!!
    angalia mkono huo bro.

    ReplyDelete
  8. Haki ya nani mchuzi nafikiri alipokuwa na 15yrs inawekana alikuwa anatisha ona mkono sasa sijui kulia kwake kaogopa nini?

    ReplyDelete
  9. Betty kama angepita Ubunge sasa hivi angekuwa Waziri, bahati mbaya alianguka kule Unyalukoloni, dada yangu Sara mmh, wa nyumbani, hapo MG wanakufahamu mitikasi yako ulipokuwa mwakilishi nadhani unatamani kukumbushia.Hongereni, fanyeni kazi hizo kumbukeni ni za kupewa nataka msimame kugombea ubunge 2010

    ReplyDelete
  10. Ukitaka habari ya mambo ya Serikali ya Awamu ya Nne nenda hapa

    http://www.KikweteShein.com picha na kila kitu wanaweka hapa..

    ReplyDelete
  11. anonymous 8.8.06 acha majungu unasikia what is kusiki proof useme kwa komfidence huo ni umbea totally.Michuzi umependeza sana na wakina mama mwanamke poda bwana.

    ReplyDelete
  12. Khe jamani huyo Betty Makwasa ni mbeya na mpenda majungu sijawahi kuona yaaani daaaaaaaa ana mdomo sana huyu mama kwa majungu tu na umbea nampa kura zooooooooote naona michezo michafu ya siasa ataiweza haswa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...