wengi hapa dar tunaliwa vichwa kwa bitebo karibu na lango la jiji, migomigo. miraji upo???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nipo Michuzi asante kwa kunifahamisha kuwa Migomigo sasa kuna mla vichwa maarufu anayeitwa Bitebo, kama unadhani ukimya wangu labda siingii kwenye blog hii unajidanganya hii kitu hii ni ya mshkaji ni lazima niifungue kila siku na nasoma kila comment zinayoandikwa na wanablog, mimi kutokuingia bloguni humu ni kutokukusaport na kama nikikuangusha wewe mshkaji nitamnyanyua nani?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...