msanii chilonga na kazi yake mpya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Thats what I'm talking about.... The touch of genius

    ReplyDelete
  2. That is something to be appreciated. you reall sit down son.

    ReplyDelete
  3. Biashara siku hizi imepanuka mpaka hapa duniani, Kama ni vigumu kwa wao kuweza kutafuta soko la nje ya nchi basi technology ya internet inaweza kuwasaidia kwa kuweza kufungua website na kuonesha huduma zao na kuziuza online.

    Pia waweze kutafuta mitaji mikubwa ili kuweza kushiriki ktk masoko mbali mbali na kujitangaza maana bila kujitangaza hakuna atakae weza kujua huduma au kipaji ulicho nacho.

    Mwisho, Kila mtanzania aweze kujifunza kupenda kununua bidhaa zinazo toka ndani ya nchi. Ni kipaji kikubwa walicho nacho na wasikate tamaa kwani ata wauza maua nao walianza hivyo hivyo mpaka sasa wamepata soko la nje ya nchi.

    Nashukuru.

    ReplyDelete
  4. Michuzi naomba contacts zake tafadhali kwa maana nahitaji kununua kazi zake. Asante.

    ReplyDelete
  5. Ndugu yangu mzozaji mi mbona nimefika katika nyumba nyingi sana zenye Tinga-Tinga art work pamoja na vinyago vya wamakonde. Pia nafahamu wasanii kama Chid Chidi Chitenda ambao huwa wanamake bingo kadhaa kwa kazi ya usanii Bongo.. ila bado sijapata kuona nyumba yeyote yenye copy ya Mona Lisa au kazi nyingine yeyote ya Da Vinci, Rafael (Sanzio), Michaeangello (Buornatti), Gustav Klimt wala mchoraji mwingine yeyote wa Magharibi.
    Ni kina nani hao wenye kazi hizo za Da Vinci?

    ReplyDelete
  6. Michuzi Please naona address ya hawa maatisti wachoraji yaaniw anapatikana wapi na kazi zao? Nakata kumuagiza mtu this week maana anakuja huku kutemeba nataka zawadi ya home land please help. Kama wanapatikana mwenge tingatinga au vipi make open jamani hii ndio marketing yenyewe mkiweka picha tu bila maelezo haviuziki!!!

    ReplyDelete
  7. Mzozaji najua ulimaanisha kopi, sio original masterpiece ambayo iko katika Jumba ka maonesho Louvre Paris.

    Ila hata hizo kopi ndio nilikuwa nakuuliza mbona sijaziona (soma comment yangu, clearly nimendika ..copy za Mona Lisa..")

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...