mbunifu dagma (tatu kulia) na mobu lake walihudhuria pia sherehe ya kumpongeza wema sepetu kuwa miss tz na miss photogenic ijumaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. NDIYO SPEED HIYO MZOZAJI........YAANI ILE SHAAAAAAAAAAAAA.........

    ReplyDelete
  2. Ahh kijana Seibak inakuwaje Bongo, bado mitaa ya Bongoyo sio...mwake mwake kijana

    ReplyDelete
  3. Kaka zangu naona mmechoka sana, kweli mko bongo.Tafuteni visa mje kiwanja. Ohio bomba party kila siku. huku kuna kila aina ya nguo, kwa hiyo mitumba mtaisahau kidogo! hata nyie mtaweza kusukuma BIMA kama yangu.

    ReplyDelete
  4. We Msami,wats your problem my brother?wat do u gain for talkn crap always bro,naeshimu sana watu wenye heshima,kumbuka ulipotoka mzee,usijione bab kubwa mwana mafanikio yako ni yako lakini hayakupi fursa ya matusi kwa wengine babu,wangapi wako ulaya na america tena state za juu na bab kubwa kuliko huko OHIO kwko but they are just kimya.watu kama nyie ndo mnatukosesha raha kama hizi,comment zako hazina ishu kabisa kumbuka michuzi anapoteza muda wake ili tupate kitu kizuri na ni wengi tuna appreciate kazi yake.Ninge kuomba kama mwanume mwenzangu wa kitanzania unaye jua uliko toka uache mambo hayo.sio ki ugomvi bali kibusara nakuomba.na wengine pia wenye mfano wa bro msami tuwe wa maana.

    ReplyDelete
  5. SAFI SANA,NAKUSUPPORT NDUGU!

    ReplyDelete
  6. Basi bwana Mbongo aliye nje nimekusikia na nimekoma sitarudia tena matamshi yangu naona hata huku watu wengi wananisakama kwa kauli zangu sina ubaya na wabongo wenzangu ila nilikuwa najaribu kuinjoy mafanikiyo yangu.Nawaombeni radhi kama nimewakosea next time nitakuwa mwangalifu sana na matamshi yangu. nadhani umenielewa. Brother Michuzi nakuembeni radhi. Ni bangi tu zinakuwa kichwani wakati mwingine basi tuna act namna hii.Wa lahi naapa sito rudia tena.

    ReplyDelete
  7. Poa Msami,nazani what you wrote watu wamependa,mimi nimependa bro.inakuwa fresh fresh kama tunakuwa na kitu cha kuangalia na kujikumbusha home na kuwa na opinion mbalimbali juu ya tunacho kiona au sio,sasa kama tuna abuse chance kama hizo mzee inakuwa mbaya,wht if michuzi astop hii blog babu wengine ni kila day tuna cheki mzee sasa ikiwa full of matusi inakuwa noma.anyway Msami big up ndugu changia hoja za maendeleo.Jmani Msami yuko okay sasa alikuwa ni mambo ya starehe yake yalikuwa yana mzingua.takecare msami si unajua tena hayo madude.lol

    ReplyDelete
  8. Poa Msami,nazani what you wrote watu wamependa,mimi nimependa bro.inakuwa fresh fresh kama tunakuwa na kitu cha kuangalia na kujikumbusha home na kuwa na opinion mbalimbali juu ya tunacho kiona au sio,sasa kama tuna abuse chance kama hizo mzee inakuwa mbaya,wht if michuzi astop hii blog babu wengine ni kila day tuna cheki mzee sasa ikiwa full of matusi inakuwa noma.anyway Msami big up ndugu changia hoja za maendeleo.Jmani Msami yuko okay sasa alikuwa ni mambo ya starehe yake yalikuwa yana mzingua.takecare msami si unajua tena hayo madude.lol

    ReplyDelete
  9. jamani naomba mtumie majina yenu wenyewe, naomba hilo jina la msami mliache , huyu mtu ambaye anatumia jina la msami tafadhali sana kaka tumia jina lako mwenyewe......naombeni watu mnao andika comment umu ndani mkiona huyo mtu anayetumia jina la msami mpuuzieni tu hana cha kufanya... namuombea mungu

    ReplyDelete
  10. Dagma Dagma....someone LOVES you in NEW YORK!!!! ...leta majibu basi...wangu...mbona emails zangu umekausha.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...