upande wa nyuma wa nakala ya dvd ya jinamizi la darwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Trio Kaka ni ukweli kuwa makala nyingi zinazooneshwa Ulaya ni za majanga, lakini tutafanyanye, ukiwauliza wanasema tumewapa kile mabacho kipo si formulations zetu bali ni raeality about Africa, any way,wanarepoti vile ilivyo na kwa vile maaendeleo yaliyopo Africa kewao wanaona si news basi hizo za majanga ni news kwao, sijajua sisi vyombo vyetu vya habari vinareporti vipi juu ya Ulaya na mtazamo wa fikra za Waafrika wengi ukoje juu ya Ulaya. Kitu kizuri ambacho si majang ni juu ya Utalii na Mbuga za Wanyama, lakini hata hawawezi kusema kuna beach nzuri Aerica labda Africa ya Kusini au kusema kuna mlima kama Kilimanjaro, wanaposema hayo wataingiza pia hatari ya malaria na magonjwa, hivyo ndiyo kipimo chao cha news.Tukitaka kuendelea Africa katika habari lazima tuitokomeze mawazo-ulaya katika news zetu, vinginevyo wanapasha habari kile ambacho wanaona kinafaa kwao na mara nyingi ni majanga ili kutudhalilisha nawakati mwingine promotion ili wapate fedha za kuleta Africa, ila wanachosema "WANAREPOTI VILE TULIVYO NA WALA HAWATII CHUMVI" sijui kama ni kweli eti?

    ReplyDelete
  2. How/Where can I get a copy?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...