October 20, 1986 in Dar: Samora, Julius, Graca and Maria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mjomba Michuzi, Samora alifariki October 19, 1986, hapo inakuwaje tena october 20, 1986?

    ReplyDelete
  2. Asante anony, labda Michuzi alitoa maelezo hayo huku akiwa na na mawazo ya tarehe aliyotangazwa kuwa kafariki

    ReplyDelete
  3. Jamani, Samora Machel alifariki majira ya saaa 3.00 hivi usiku wa tarehe 19 Oktoba, 1986 kwa ajali ya ndege ya Rais iliyotokea tarehe hiyo. Alikuwa anatokea Lusaka kwa ndege yake aina ya Tupolev 134A Jetliner. Hata hivyo ukiangalia mtandaoni kuna wengine wanaandika tarehe 20 kama ndiyo tarehe ya ajali. Ni makosa. Huenda hata Muhiddin ametafuta tu mtandaoni na akapata tarehe ya makosa. Pamoja na yote. tumpe pongezi Muhiddin kwa kazi nzuri

    ReplyDelete
  4. kwa mfano hii link inaonyesha tarehe 20
    http://www.sahistory.org.za/pages/people/machel-s.htm

    ReplyDelete
  5. Correction: This photo was taken in the year 1982 in Dar, not 1986 as caption indicates. Error regretted and sorry for any inconvenience caused...

    ReplyDelete
  6. hiyo sasa ina make sense sababu tukumbuke by 1986 Mwalimu alikuwa tayari kashang'atuka kama alivyokuwa anadai mwenyewe hivyo basi kama Samora alikuwa DAR most likely mwenyeji wake angekuwa ni Alhaji MWINYI angeonana na Mwalimu privately tu na sio kirasmi kama inavyoonekana hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...