Home
Unlabelled
First couples
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mjomba Michuzi, Samora alifariki October 19, 1986, hapo inakuwaje tena october 20, 1986?
ReplyDeleteAsante anony, labda Michuzi alitoa maelezo hayo huku akiwa na na mawazo ya tarehe aliyotangazwa kuwa kafariki
ReplyDeleteJamani, Samora Machel alifariki majira ya saaa 3.00 hivi usiku wa tarehe 19 Oktoba, 1986 kwa ajali ya ndege ya Rais iliyotokea tarehe hiyo. Alikuwa anatokea Lusaka kwa ndege yake aina ya Tupolev 134A Jetliner. Hata hivyo ukiangalia mtandaoni kuna wengine wanaandika tarehe 20 kama ndiyo tarehe ya ajali. Ni makosa. Huenda hata Muhiddin ametafuta tu mtandaoni na akapata tarehe ya makosa. Pamoja na yote. tumpe pongezi Muhiddin kwa kazi nzuri
ReplyDeletekwa mfano hii link inaonyesha tarehe 20
ReplyDeletehttp://www.sahistory.org.za/pages/people/machel-s.htm
Correction: This photo was taken in the year 1982 in Dar, not 1986 as caption indicates. Error regretted and sorry for any inconvenience caused...
ReplyDeletehiyo sasa ina make sense sababu tukumbuke by 1986 Mwalimu alikuwa tayari kashang'atuka kama alivyokuwa anadai mwenyewe hivyo basi kama Samora alikuwa DAR most likely mwenyeji wake angekuwa ni Alhaji MWINYI angeonana na Mwalimu privately tu na sio kirasmi kama inavyoonekana hapo.
ReplyDelete