hapa ndo golini petu. hakika twafarijika sana kuona tumekubalika bongo kwa huduma za kisasa za masnepu na hii ni taswira ya kawaida ufikapo mayfair plaza pale msasani mkabara na hospitali ya tmj kuelekea kwa mwalimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. uongo mbya watoto wa kitanzania wanaongoza kwa kupendeza katika Afrika, kama mnabisha semeni nchi gani ina watoto wanaojua kuvaa kama TZ?

    ReplyDelete
  2. Hivi Michuzi Studio yenu mnazo Matt paper?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...