hili ndilo 'guta' na hii ndo staili yake, hasa baada ya kumwaga kago

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nasikia harufu ya ajali ajali tuu hapo.

    ReplyDelete
  2. Michuzi, this one of the best pictures.....showing the real life. So all you young thugs wanna be, stay focus....Maisha sio mchezo

    ReplyDelete
  3. Michuzi angalia wasije wakakuweka kundi moja na Hubert Sauper!

    ReplyDelete
  4. Trio Kaka I don't think mr. noma hapo juu was reffering to these guys in the pic as thugs.

    Alisema Michuzi kaweka picha inayoonyesha life halisi (ya Mbongo wa kawaida)... na kisha akatoa ushauri kuwa thugs (wherever they r) waache uthug na kuchakarika maana maisha ni magumu as u can see here. Au sio Noma?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...