wanja la jamhuri dom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. du pamepauka balaa hao wah. waungalie huo uwanja pia sio kubadilisha majengo ya bunge tu hayo majani yakimwagiliwa mbona yatapendeza tu wasisingizie ukame

    ReplyDelete
  2. kaa jamani si wamwagilie maji kuna tatizo wapi uwanja umepaukaaaa lol na wabunge mawaziri wanaona swaf tu mji mkuu gani hata ukisema kwa watu huu ndio mji wetu aibu huoni majani bali vumbi chaaa hebu wasijenge majengo tu waangalia mazingira bana.

    ReplyDelete
  3. mmnenikumbusha kila siku nikipita kwenye viwanja vya shule za msingi na open space huku nilipo naona jinsi majani yalivyostawi na kukumbuka viwanja vyetu vikubwa vilivyo. No mans land hiyo, ingekuwa inaendeshwa na mtu binafsi uwezekano wa matengenezo kufanyika ungekuwa mkubwa.

    ReplyDelete
  4. Nyie mnafikiri kuna mbunge anaingia humu? weekend zote wanaishia mnadani na kwenye bar kula nyama na biere, na hayo majani hayawezi kustawi kwa sababu watu wanatumia uwanja kila siku, halafu hayo sio majani maalum kwa ajili ya viwanja vya football yanakua taratibu sana na nirahisi kufa yakikanyagwa, kuna shamba la majani pale kongowe KIBAHA na kuna ma Dr wako pale kwa ajili ya kubreed majani tu, lakini kama kawaida ya hii nchi yetu tunayoipenda sana, hawa wataalam hawatumiwi ipasavyo + malipo madogo = hawana faida

    ReplyDelete
  5. Ebu tulieni, kabla hamjazidisha kuutusi huo uwanja angalieni hapa viwanja vya ligi daraja la kwanza huko kameruni:

    mfano 1 http://www.camfoot.com/article.php3?id_article=7415

    mfano 2 http://www.camfoot.com/article.php3?id_article=7428

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...