Home
Unlabelled
joto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wamependeza jamani !!! MIchuzi naomba utuweke picha zaidi za miss tz 2006 full na half photos ya washiriki wote japo tucheki kama hawakukosea uchaguzi.Tunaomba na maelezo ya huyu new mss tz 2006 anafanya nini ect.
ReplyDeleteaah kumamae sasa na wewe michuzi ulishakua bwana kwa umri wako kawalee watoto wako.achia watu wa umri huo.mimi nakuzimia kwa mambo mengine unaweka hapa sema sio lazima uanze kukumbatiana na hao watoto wa 18..wewe mwenyewe ungekuwa umezaa mapema si ajabu ungekuwa na wasichana hao na unapiga vita kwenda kwenye mashindano..poa basi..kama unataka kuwa mbunge heshima uanzie mitaa hiyo..usitake vyotevyote
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteMbona picha yenyewe mbona umeimega juu ya kitovu tu? Au plastiki zilishaanza kuyeyuka?
Michuzi,
ReplyDeleteI ain't no hater, but if m honest, one of the girls you are holding is beautiful than most of the 2006 contestants. I wonder if we really will reach the bench-mark set by that beautiful girl from the slopes of Mt. Meru! Don't get me wrong Sepetu is cute, but is that enough for Miss World standards? Was waiting for this pictures for ages Michuzi, why did it take you so long to post them anyway? That aside, you really are doing a good job bro! Keep it up. Next step, get editing and block the comments that are offensive. My kid's just asked me what is the meaning of one of the word we read. What will you do when get a million hits from Swahili readers? You don't want your name tarnished. Good work.
anoy wa 10:08:33 PM nenda katika blogu 'Father Kidevu - Blog.co.tz' hapo kuna picha za mamiss wote walioshiriki miss Tanzania 2006. Na hapo ndo mtakubali kama 'Wema Sepetu hawezi'',miss Tanzania 2006 ni Jockate Mwegelo ila wamemnyima tuu!shenzi taipu! kwa sura ile wema na asahau ushidi wowote miss world labda akaroge!,maana huko kutakuwae vimwana vyenye sura zinazoweza, uelewa,na kila sifa!
ReplyDeleteWee Jack nikija bongo lazima nikuchukue mimi ndiyo ALWATANI hapa OHIO ukisikia MSAMI ndiyo mimi watoto wazuri wazuri wote ndiyo mapigo yangu, nikija bongo nitakutafuta poa, tuwasiliane basi.
ReplyDeleteWewe Msami,nashindwa kusita kukuita:LIMBUKENI. Kuishi Marekani tu basi utadhani upo sayari nyingine...du!
ReplyDeleteWe Msami tukuelewe vipi? Mara ooh sirudi Bongo, mimi huku huku Columbus; sasa ooh nikija Bongo nitakuchukua!!! Mzima kichwani wewe?
ReplyDeleteJamani huyu Msami mimi namjua kuwa ni shoga au 'bwabwa' 'mtoto wa wenyewe' kwa hiyo hata asiwasumbue na mashauzi yake, ni tabia za kishoga tu hizo analeta hapa kwenye blog.ushindwe wewe Msami tena kwa jina la shetani!!!
ReplyDeleteJackie Jackie ....for a Tanzanian you are indeed FINE!!! I assure you can try again and win.
ReplyDelete