naibu mhariri wa jarida la muziki la kitangoma ahmad(michuzi junia) - shoto- akiwa mpambe kwenye harusi ya rafikiye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa naona umetoka kwa chifupa umeanza kutambulisha familia yako........haya kaka huyu ndiyo nani, mwanao au mdogo wako?

    ReplyDelete
  2. mafundi vyerehani bongo wanajitahidi siku hizi.

    ReplyDelete
  3. "Similar figure" ya Michuzi

    ReplyDelete
  4. Yes Michuzi photo copy yake I like that !!!

    ReplyDelete
  5. mimi hapo sijaelewa maana ya jnr samahani kwa ushamba.ina maana huyo mtoto wa michuzi au maana nimeona hata hapo muheshimiwa juu kasema michuzi photo copy!na kama michuzi mwanao basi wewe kibabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...