askari kazini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. watanganyika mimi baba yangu waziri wa maji lakini hii tabia siyo nzuri watu mnakusanyika kama kumbikumbi huku Virginia hatuna tabia hiyo kabisa. Huu ndiyo mwanzo wa kuambukizana vifua vikuu.Askari anapanda juu ya mabega kabisa jameni? ushenzi huu

    ReplyDelete
  2. KWENDA ZAKO KULE UNAZUNGUMZA PUMBA TU! WE BABA YAKO WASIRA GANI? WAKATI HATA JINA LENYEWE HUJUI KUANDIKA! NA KAMA NI BABA YAKO SISI INATUHUSU NINI? NA JE INAHUSIANA NINI NA PICHA YA HAPO JUU? EMBU ACHA UPUMBAVU!!!

    ReplyDelete
  3. ni njagu na hujulikana pia kama mwela,ndata,wajomba au mifuko ya sementi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...