Home
Unlabelled
kabila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu dada namfahamu ni mcongowoman, nadhani alienda kupiga kura sasa karudi maskani bongo, safi sana.Kampeni mpaka TZ, tukikosolewa ohhh, matatizo sasa kwanini Tshirt kama hizi ziuzwe na kuvaliwa TZ, jamani hatuwezi kukataa swala la kuunga mkono ukombozi wa Afrika, ni jadi yetu tangu wakati wa Mulungushi Club!
ReplyDeleteI dont want to see ukosefu wa akili tanzania. Sisi masikini wa congolize na siasa zao za nini tanzania? hata wakati wa mseveni niliona vitu kama hivi tanzania. Hivi tukoje?
ReplyDeleteUnachosema Trio Kaka ni sawa nadhani hao wanasema hivyo kutokana na sekeseke la uchaguzi kwasasa huko DRC, kumbe hata mimi kama nitavaa jezi ya Chelsea ama Juventus wakati mechi yao inakaribia ama wanacheza basi moja kwa moja nitaibua hisia. Ni mtazamo tu!
ReplyDelete