Home
Unlabelled
wafungwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi, kuna mwana blog mmoja alitoa ushauri huko yuma kwamba tunaomba picha za soka sasa, timu ya taifa iko kambini tunaomba picha tuone wanafanya nini. Tuko chini ya miguu yako mzee michuzi ingawa umekataa kutuwekea picha ya harusi ya taifa.
ReplyDeletehuyo jamaa wa 2 toka kulia nini kuweka tumbo nje namna hiyo utadhania wenzake wanamfanya mboga?
ReplyDeletenarudia swali langu la mwanzo.. wafungwa wa Bongo siku hizi magwanda ni orenji tena na sio meupe?
ReplyDeletepeter nguo nyeupe ziliondolewa michuzi bado tunasubiri picha za harusi ya taifa.
ReplyDeleteGuantanamo bay wafungwa wanavaa hivyo. TZ wana rangi fulani si kama hii. Nadhani wangevaa kama za wafungwa wa TZ hotuba zingetolewa kukanusha kuwa wafungwa hawavaoi hivyo na wangesababisha watu kuandamana kuunga mkono fikra sahihihi.teh teh teh!
ReplyDelete