nilisahau kuwaambia kuwa siku tulipomfanyia pati wema sepetu kuwa miss photogenic 2006, pia tulizindua kamopuni dada ya photopoint iitwayo kapito letaz ambayo ina jukumu la kuvumbua, kuendeleza na kupromoti vipaji vya sanaa na wasanii bongo. la tinga (kulia) ni mmoja wa wasanii wa kizazi kipya waliofungua duka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kweli Bongo imechoka sana. Ninaongea ukweli nawapenda wabongo wenzangu lakini ALWATANI wa Ohio ndiyo mimi MSAMI TALL! Mzee michuzi nitakutumia pic ya BIMA yangu uwaoneshe vijana huko!

    ReplyDelete
  2. kapange box weweee....

    ReplyDelete
  3. Msami si ndio wewe party time unagawa tako?wachaga wa ulaya bwana eti na wenyewe magays

    ReplyDelete
  4. watu wengine kama mmekosa cha kuongea si mnyamaze.unaposema watu wamechoka unaangalia nini jeans au t-shirt.kaka acha ushamba wewe huko ohio kijijini unafanya nini kwani? bado mshamba inabidi uje new york city tukuonyeshe?

    watu wamejiachia wanakula raha kibongo bongo wewe unasema wamechoka. hebu muangalie kwanza huyu jamaa wa kwanza kushoto,kakamata bia akipoza mawazo wewe unasema nini ?

    acha ujinga wako na siku nyingine ongea vya maana. tuma picha tukuone ulivyo na nguvu. mbeba mabox wewe.mwana maarun.nyooooooooo

    ReplyDelete
  5. Si anamuona Jamaa wa kati kati ana Big pony - Polo 2006 design - unajua ni kiasi gani hiyo - $110, na kazi yako ya kubeba mabox huo mshahara wa wiki! mbwa we

    ReplyDelete
  6. MICHUZI HILI GROUP LA X-POINT NI LAKO, SIMILAR TO PHOTO-POINT, NA UNALIPROMOTE VILE VILE, NDIO MAANA SIKU HIZI HUVUI T-SHIRT ZAKE.
    HONGERA SANA!

    ReplyDelete
  7. Hivi kwa nini mnampa kichwa huyu Msami kwa kujibizana naye. Mshajua wote kwamba ni punguani, sasa mkiwa mnaendelea kujibizana naye mtaonekana mko kama yeye.

    ReplyDelete
  8. hahaha angalia hii news ya huyu fala msami. Kumbe ana ngoma aisee:
    http://comunidades.msn.es/MEETTANZANIANSONLINE/messageboard.msnw

    ReplyDelete
  9. Mitumba inasaidia sana niki angalia wote nyie vijana mmevaa mitumba hakuna original hata moja, na hiyo mitumba inamajina ya zamani sana, mbona sioni Gucci? Wajanja angarau hao waliovaa X point ni original kabisa. Wengine naona kama ni Vitenge tu. Subirini nije BONGO mademu zenu wote watanikimbilia tena na dollar za kubeba mabox? I hope some of you will like my D too! Acheni ushamba watoto hakuna pesa ya kuimba hapo bongo.Mmeshiba chips na chai ya rangi sasa mnaona dunia ndiyo yenu na bia za kununuliwa. Kesho nawakuta mnakula miwa kwenye dinner.Karibuni OHIO COLUMBAS muonje raha....!

    ReplyDelete
  10. HAHAHA,WEWE MSAMI KWELI HUJATULIA,NAHURUMIA HAO WATU WENYE MDA WA KUJIBISHANA NA WEWE.

    ReplyDelete
  11. Msami ana frastretion mhurumieni. Ana Ngoma inamchanganya hiyo hee sijui mumuongezee jitaa afungue bendi kabisa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...