
nilisahau kuwaambia kuwa siku tulipomfanyia pati wema sepetu kuwa miss photogenic 2006, pia tulizindua kamopuni dada ya photopoint iitwayo kapito letaz ambayo ina jukumu la kuvumbua, kuendeleza na kupromoti vipaji vya sanaa na wasanii bongo. la tinga (kulia) ni mmoja wa wasanii wa kizazi kipya waliofungua duka
Kweli Bongo imechoka sana. Ninaongea ukweli nawapenda wabongo wenzangu lakini ALWATANI wa Ohio ndiyo mimi MSAMI TALL! Mzee michuzi nitakutumia pic ya BIMA yangu uwaoneshe vijana huko!
ReplyDeletekapange box weweee....
ReplyDeleteMsami si ndio wewe party time unagawa tako?wachaga wa ulaya bwana eti na wenyewe magays
ReplyDeletewatu wengine kama mmekosa cha kuongea si mnyamaze.unaposema watu wamechoka unaangalia nini jeans au t-shirt.kaka acha ushamba wewe huko ohio kijijini unafanya nini kwani? bado mshamba inabidi uje new york city tukuonyeshe?
ReplyDeletewatu wamejiachia wanakula raha kibongo bongo wewe unasema wamechoka. hebu muangalie kwanza huyu jamaa wa kwanza kushoto,kakamata bia akipoza mawazo wewe unasema nini ?
acha ujinga wako na siku nyingine ongea vya maana. tuma picha tukuone ulivyo na nguvu. mbeba mabox wewe.mwana maarun.nyooooooooo
Si anamuona Jamaa wa kati kati ana Big pony - Polo 2006 design - unajua ni kiasi gani hiyo - $110, na kazi yako ya kubeba mabox huo mshahara wa wiki! mbwa we
ReplyDeleteMICHUZI HILI GROUP LA X-POINT NI LAKO, SIMILAR TO PHOTO-POINT, NA UNALIPROMOTE VILE VILE, NDIO MAANA SIKU HIZI HUVUI T-SHIRT ZAKE.
ReplyDeleteHONGERA SANA!
Hivi kwa nini mnampa kichwa huyu Msami kwa kujibizana naye. Mshajua wote kwamba ni punguani, sasa mkiwa mnaendelea kujibizana naye mtaonekana mko kama yeye.
ReplyDeletehahaha angalia hii news ya huyu fala msami. Kumbe ana ngoma aisee:
ReplyDeletehttp://comunidades.msn.es/MEETTANZANIANSONLINE/messageboard.msnw
Mitumba inasaidia sana niki angalia wote nyie vijana mmevaa mitumba hakuna original hata moja, na hiyo mitumba inamajina ya zamani sana, mbona sioni Gucci? Wajanja angarau hao waliovaa X point ni original kabisa. Wengine naona kama ni Vitenge tu. Subirini nije BONGO mademu zenu wote watanikimbilia tena na dollar za kubeba mabox? I hope some of you will like my D too! Acheni ushamba watoto hakuna pesa ya kuimba hapo bongo.Mmeshiba chips na chai ya rangi sasa mnaona dunia ndiyo yenu na bia za kununuliwa. Kesho nawakuta mnakula miwa kwenye dinner.Karibuni OHIO COLUMBAS muonje raha....!
ReplyDeleteHAHAHA,WEWE MSAMI KWELI HUJATULIA,NAHURUMIA HAO WATU WENYE MDA WA KUJIBISHANA NA WEWE.
ReplyDeleteMsami ana frastretion mhurumieni. Ana Ngoma inamchanganya hiyo hee sijui mumuongezee jitaa afungue bendi kabisa.
ReplyDelete