ukumbi wa karimjee holi ni maarufu kwa harusi siku hizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Good photo Michuzi, but we have to remember Janguo's Limo is not maendeleo. Look at the Dodoma Railway station! that's where maendeleo ya Bongo is as far as I'm concern.
    Wabunge's cars (SUV's), Jengo ya Bunge Dodoma, and all the camera's actions don't equate much to maendeleo ya Tanzania. We need better means of communications, railways, roads,airways,better education (meaning good schools, better trained, paid teachers). How many Tanzanians can afford to lease a Limo for their wedding?

    ReplyDelete
  2. Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.Yaani na hicho ni chanzo cha pesa cha serikali!!??Kukodisha Karimjee hall kwa harusi!!!
    Sasa naelewa hata ule ukumbi wa zamani wa BUNGE wa dodoma unatakiwa uwe chanzo cha mapato cha serikali.
    Igeuzeni CASINO basi tujue moja.

    ReplyDelete
  3. We Anony wa hapo juu huna cha kufikiria nchi ya Tz inaendeshwa kwa misingi chukua chako mapema muda ukifika upumzike uwachie nao wenzio waje wachukue. Tz itaondokana na zimwi linalotutafuna kama tutakuja kupata rais ambae hajalelewa na CCM. CCM wanachojali zaidi ni fikra za chama na sio wananchi.

    ReplyDelete
  4. Haya acheni ujinga huo sasa, hata kama Karimjee Hall itakodishwa kila siku kwa mwaka siku 365, mapato yake hayatoshi hata kuendesha shule ya msingi. Tatizo hapa, kuna watu wanaopenda kukosoa kila kitu kinachofanywa na Serikali, wakati wao wenyewe maisha yao yamewashinda. Tusitake kudanganyana hapa, kuna watu wanaishi nje na wameshindwa hata kuwasaidia ndugu zao waliowaacha nyumbani. Hii tabia ya kukosoa bila mpango mpaka lini? Tukumbuke na sisi majukumu yetu kwenye familia zetu tulizotoka, hiyo ndio maana halisi ya maendeleo ya nchi.

    ReplyDelete
  5. Nakubaliana nawe anoy hapo juu kabisa, na anoy wa 8:35:42. CCM is Chukua Chako Mapema. Ndio maana Rais anakwenda safiri nje ya nchi na watu 50....nakuomba misaada ya nje ili kupambana na RUSHWA! Sio misaada ya Maendeleo?

    ReplyDelete
  6. Mimi nafikiri kukosoa siyo tatizo mtu akiona jambo ambalo siyo la Msingi inabidi kweli aliseme juzijuzi uliona maliamkono alisema kitu kimoja muhimu sana. Unajua unaweza kusikia unaumwa kila sehemu ukifika kwa daktari anakwambia haa, hiyo ni malalia. Sasa tatizo kubwa la Watanzania tulio nalo ni Elimu ndogo, umbumbumbu umetutawawala, na ndio maana hata hatuwezi kupanga mambo vizuri, badala yake kufikiria rushwa tu.

    Anony wa monday 07, 2006, 9.09.08Pm,hivi wanachama wazuri wangapi wa CCM wamesoma vizuri?, chukua hata vijana nipe direction chama kinaelekea wapi, bila chukua chako mapema tu.

    Tatizo ni elimu ndio inawasumbua tu, ndio maana ufahali

    ReplyDelete
  7. Aise wewe Anony wa saa 9:09:08 PM, ungekuwa upo kwenye nchi ambayo mimi ni raisi ningekukata kichwa na kutupia mamba wale huna faida kabisa. Una mawazo ya kibinafsi mno. Yaani wewe huna tofauti na hao viongozi wanaoiba mali za umma na kujilimbikizia tu. Huo umimi hauwezi kutufikisha popote, na ndio unaosababisha rushwa ikue sana. Wewe unafikiria Nyerere angekuwa na mawazo kama ya kwako tungekuwa wapi? Wewe ni mtu wa kuogopa kama ukoma.Natamani tungewakusanya watu wenye akili mbovu kama za kwako tukawafanyia uchunguzi wa watu wa aina gani.

    ReplyDelete
  8. Aki ya nani time itakuja kuna kipindi itafika ya mbingu wa mutharika hayataepukika tanzania. Pia lazima tupime watu vichwa vyao kupata mawazo yao. Unajua siku hizi vijana wako mbali sana na Taifa, na ndio watoaji wa mawazo humu. wale wote wanaoonekana na wazee wamewekwa kwenye bakuri zao tu.Na wenyewe wameisha fundishwa how to swindle country wese ni kama anony wa 9.09.08 Pm

    ReplyDelete
  9. Hili limo ni moja ya maendeleo kwa Janguo, na maendeleo haya wezi kuja kwa watu wote kwa pamoja lazima yaanze kwa mtu mmoja mmoja, hata hii blog ni maendeleo kwa upande wa Bw Michuzi, hata sisi wachangiaji ni maendeleo pia kuchangia mada kama hii

    ReplyDelete
  10. Ahsant sana rhxoqsa kwa comment yako wabongo msinionee wivu huu ni mwanzo wa maendeleo na kipimo cha ku work hard, siyo lelemama chapeni kazi na nyie mtapata rimo sikumoja. Wabongo tupendane tusitukanane hii glob ya michuzi itumike kama ishara ya kupeana moyo siyo kutukana na kukatishana tamaa. Nimeuchinja jamani nipeni credit.....

    ReplyDelete
  11. janguos umechinja mbuzi? make sijakuelewa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...