Home
Unlabelled
ymca
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hujatulia wewe!!
ReplyDeleteHata hivyo umenikumbusha mbaaaali enzi za marehemu Kalikali, au kina Jerry Koto n.k n,.k
Bravo
Well, some of us like his sense of humour.
ReplyDeleteKumamae enzi hizoo babake wakati hakuna NGOMA wala UKIMWI. Ni mwendo wa kujirusha tu.
ReplyDeletejamaa mwenye suruali ya rangi ya damu mziki umemwingia
ReplyDeleteUkitaka kuamini kama ngoma ilikuwa ishaingia, hao unaowaona hapo kama kuna aliye hai, basi hawafiki watatu.
ReplyDeletemwimbo anaozungumzia Michuzi ni aint no stoppin us, no stoppin' no one does it better, kwa wale vijana wa zamani kwenye movie ya breakdance.
ReplyDelete