Home
Unlabelled
Kidude
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteIle picha yako ya Bi Kidude, iliyoleta 'skendo' 1993 iko wapi? The unyago pic. Tena washenzi waliweka Front Page Daily News!
Bwana tuna stories..
Hahaha! Chemi, you still remember that one? What about our khanga movie?
ReplyDeleteI haven't seen the khanga movie, but I heard it won an award! So we are award winning actors!
ReplyDeleteSee you soon will e-mail details.
Much Love!
Huyu Bi Kidude ni kiboko yao!
ReplyDeleteKiboko kwa sauti au jingine
ReplyDeletePUMBAVU ZENU ETI MNAONGEA KIINGEREZA KUONEKANA MMESOMA BADALA YA KUONGEA LUGHA YA KWENU NA KUJIVUNIA NAYO. WAENGEREZA WANA WACHEKA SANA NA KUWAONA KAMA WATUMWA WAO KWA KUTHAMINI KILA UTAMADUNI WAO BADALA YA KUTHAMINI WA KWENU! WAULIZENI WAFARANSA NA WAHARABU WAO POPOTE WAENDAKO NI KUTHAMINI UTAMADUNI NA LUGHA ZAO. UTUMWA WA FIKIRA NA KILA AINA UTAENDELEA AFRIKA MPAKA SISI TUONESHE KANA KWAMBA TUNATHAMINI TAMADUNI NA LUGHA ZETU. PASUKENI KWA UKWELI.
ReplyDeleteMichuzi it seems unampenda sana huyu bi kidude... manake sijui ni mara ya nne unatuwekea hii picha sasa!
ReplyDelete