Former Nasaco building now NSSF Waterfront House along Gerezani road in Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Pesa za kukarabisha majengo kama hayo na kujenga mapya kama BOT zipo, lakini za kukarabisha barabara na mitaa na kuweka miji safi hakuna.Mambo hayo.

    ReplyDelete
  2. dah mzee michuzi, binafsi nashukuru kwa picha ya hili jengo, maana nakumbuka wakati lile la kwanza ninaungua nilikuwa sekondari jetegemee na nilikuwa niko kwenye gari natoka skonga na rudi home. duh ila sasa mbona nssf wamerudia kuwa mipira hiyo ya njano ya nyekundu??? je moto ukishika siitakuwa soo kama mwanzo tuu.
    oyaaa tafadhali tuwekeee picha ya lile jengo la zamani tafadhali, mzee michuzi.
    from uk.

    ReplyDelete
  3. Bila yaku himarisha huduma ya zima moto TZ, haitashangaza kuona majengo haya yakiungua tena.

    ReplyDelete
  4. wewe fala trio kaka tangu watu wakusifie umeona kana kwamba kazi yako ni kutoa kasoro katika maoni ya watu sio? Hacha ufala wa kutoa watu kasoro au page nzima kuonekana wewe na maoni yasiyo kwisha, kama unataka kutoa maoni toa ya kwako na sio kusubiri watu waongee na wewe ndio ufunue domo lako. Tumekuchoka na Pasuka au kunywa sumu kwa ukweli.

    ReplyDelete
  5. safiiiiiiiiiiiiii kwa kuona wewe fala tunategemea uta hacha kutoa kasoro katika maoni ya watu na heshimu maoni na fikira za watu. umetupata? SIO KAZI YAKO NA UTOE MAONI YA KWAKO TU NA USISUBIRI WATU WATOE MAONI NA KUWATOA KASORO.

    ReplyDelete
  6. Maoni mengine hua yanachekesha, na sijui watumaji wa maoni hayo walikuwa wanacheka pia au walikuwa wamechukia wakati wanayatuma maoni hayo, kwa mfano Bwana Anon wa Aug. 30, 2006 3:33

    ReplyDelete
  7. Fala alizidi huyo, tulimchunia mpaka tumeshindwa leo tume mpa ka ukweli chake. Hacha ufala trio kaka.

    ReplyDelete
  8. Trio Kaka wewe kula pozi...hao ni wale wa Shabaan Robert waliojawa na midomo michafu...

    ReplyDelete
  9. Fala tu huyo kazidi ufala wake.

    ReplyDelete
  10. Ata useme nini we fala tu tena wa kutupwa.

    ReplyDelete
  11. Trio Kaka,

    Nitafute mettyn@hotmail.com. SBS, kwa Mzee Karo, yes.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...