Home
Unlabelled
kilema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo hosteli inaonekana kama ilijengwa enzi za wajerumani! DUH!
ReplyDeleteWanafunzi wote wanakaa hapo au kuna jengo lingine?
halafu wa ugaibuni tuna tukanwa jamani angalieni maisha humu si kama pangoni kabisa mtu unaweza kumpeleka hii hosteli kweli? kweli waugaibuni mungu atupe nini hata tukibeba mabox na kusukuma mabima 7 series 2006 ni halali yetu.
ReplyDeleteLazima ulimbuke, maana Col. Msami alikuwa na Corolla tu!! Beemer lenyewe la mkopo, ukiumia mgongo ukashindwa kubeba box, basi tena wamekuja kulichukua wenye nalo:-)
ReplyDeleteDu jengo linatisha kusema ukweli, giza giza, nini naungana na Chemi hii ni typical jerumani, hamna mizimu ya kina Hans Mayer au Karl Peters kweli? halafu Msami bado tu unaendeleza upumbavu, naona umehama peji, acha bwana, Kanali tunamheshimu, hana makuu, ndio maana tumekuminyia kidogo, sidhani kama anajua mwanaye kawa Pambavu namna hii, tafadhali dont push us!!
ReplyDeleteKWA MWARA NYINGINE PLEASE WEWE UNAYEJIITA MSAMI ACHA CHUKI ZAKO ZA KUTUMIA JINA LA WATU TUMIA JINA LAKO...KWA NINI UANATAKA KUWAHARIBIA WATOTO WA MSAMI JAMANI NAOMBA UKUE KAMA UNA MATATIZO NA WATOTO WA MSAMI WAPIGIE SIMU...SAMAHANINI WATANZANIA WENGINE...HUYU MTU SI MTOTO WA COL.MSAMI..SAMAHANINI SANA
ReplyDeletekama ni kweli Msami anayezungumziwa hapa si wa kweli mbona siku zote hukujitokeza kusema au baada ya kuona watu hawampendi kwenye hii blog kutokana na maoni yake yasiyokua na maana ndo unaamua kumdefend? mi sijui cha kuamini maana kama ungeandika hii msg toka mwanzoni alipoanza kuandika haya maoni ningeamini lkn sasa hivi sijui!!!! lkn kama ni kweli mtu anatumia hilo jina la msani basi ni vizuri uache mara moja
ReplyDelete