Home
Unlabelled
tuza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwani dola ndio nini? Si pesa tu kama ya Bongo ila ndio thamani ina tofautiana mf. kama mtu ukipanga kutuza Sh. 10,000 uwezi ukatoa kama dola 5 au 6 ikawa umetoa thamani ile ile? Usitupe aibu mzee dola ni kitu cha kawaida hasa kama wewe mjanja wa kufikiria au unafanya biashara basi mipesa yako yote iweke ktk dola au paundi ukiiweka ktk madafu inashuka thamani kila siku mzee.
ReplyDeleteSasa we ndo umeongea nini?kama huna la kusema nyamaza pumbaf!
ReplyDeleteAnony wa kwanza unachekesha!!! Unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe!!! Usikurupuke kwa jazba, fikiri kabla hujaandika kitu!! Watu kama nyinyi mna bore sana!!!!!!!
ReplyDeleteeti mimi aka i ndio nini sasa huo si upuuzi tu. acheni ushamba nyie dola ni kitu cha kawaida tu.
ReplyDeletenini tofauti ya dola na shilingi?
ReplyDeletehuyo fala wa kwanza anarukia tu mambo ili mradi aonekane ametoa comment,fikiria kwanza sio unabwabwaja tuu mama wee.embu eleza vizuri ulichotaka sema najua sasa utakuwa umefikiria sawasawa chizi wee
ReplyDeleteAnony wa kwanza anachosema ni tuache kuabudu dola za kimarekani. Tendo hili linashusha thamani ya TShs na kuumiza uchumi wetu.
ReplyDeleteNamuunga mkono Anony wa kwanza.
ReplyDeleteKiswahili sio mchezo huyo dogo anony 1 anaonesha uzalendo wa kukerwa na matumizi ya dola lakini ameshindwa kujieleza ndo maana nachota mitusi yote maana kakutana na redio manzese na Kibulugwa sasa zinamtoa kamasi kama si mshipa
ReplyDeletejamani acheni matusi siyo vizuri kutokana na maadili na malezi yetu watanzania!!
ReplyDeleteacheni hizo
ReplyDeleteMoyo huo wa kuchangia ungehamia katika elimu naamini Tanzania tungekua tumepiga hatua kubwa sana katika sekta ya elimu.
ReplyDeleteSisi kazi imebaki kushadadia harusi tu na mambo mengine ya kupita
ulaya watu hawatunzi wasanii wawepo kazini hilo moja,pili dola ni fedha tuu kama fedha nyingine upatikanaji wake mgumu matumizi yake ovyoo
ReplyDeletemhe muhidin tafadhafali kama huna comment katika kazi zako za picha wacha picha zijieleze zenyewe yaani No Comment.mara kwa mara unajiabisha sana mkubwa tutachoka kukusupport.
Anony 2:29,hii ni blogg binafsi mtu anaweza kuwa na mtindo anaoupenda. Pili,naomba uelewe unavyoCOMMENT siyo FAVOUR kwa MICHUZI jaribu kupotea uone kama tutakutafuta. Tatu kinachofanyika ULAYA siyo lazima kifanyike TANZANIA. Anachosema ndio kinachofanyika. Naona watu wana STRESS sana UGHAIBUNI, PESA siyo kila kitu tukichoka turudi nyumbani, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
ReplyDeleteAnony wa 9:35 pm umenifurahisha kwa kueleza ukweli:-) Migongo inauma ndugu yangu weee; box sio mchezo!! Mungu ibariki Tanzania.......
ReplyDeleteyaani kweli ni frastration tupu maana huyo anony wa kwanza alivyokurupuka utafikiri kaambiwa unaangaika na dola wakati bongo zipo,msiumie roho shida zipo kote kama lady jd alivyosema kila mtu anawazo wala sio uongo tupunguze tu hasira tule maisha
ReplyDeletetofauti ni $$$ is a foreign currency, inabidi uende kuchange Shs ili upate $$$. Ktk hilo unapoteza vijsenti vyako kiaina maana bearue de change lazima wafinye vijichenji kidogo .
ReplyDelete