Home
Unlabelled
kotyad
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Majani majani kibao ndio mwanzo wa kuleta mijoka hiyo. shauri yao wa ambie wayapunguze.
ReplyDeleteWajameni hii hoteli iko wapi dar au dodoma naona iko kwenye vijani sasa sjaitambua ni ipi ntoeni ushamba basi
ReplyDeletejamani wewe hapo juu kweli unahitaji kwenda shule kusoma zaidi maana maneno ya picha yanasema kbs dar kwaio inamaanisha ipo dar
ReplyDeleteKwa kweli hoteli nzuri sana inaonyesha imepoa vizuri, hapa ndio sehemu ya kufuikia nikija Bongo.
ReplyDeleteananonymous 1,
ReplyDeleteHivi hujui kuwa wazungu wanapenda majoka. Wakisikia kuna snakes pale hotelini ndo watajaa! Wengine watatoka nazo kama pets.
Wantatuona sisi waafrika washenzi kwa ajili ya kutaka kuwaua kila tukiwaona. Nikiona nyoka naua! hata akiwa pet wa mzungu!