niko na mh. leila (zamani lucy) mayenga bungeni. kanambia amesilimu tokea 1999 kwa nia yake na sasa hana mchumba wala mpenzi yeye ni sala tano na kutumikia wananchi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Kakudanya huyo Michuzi. Hiyo ni chakula ya Mh Abdulaziz; RC wa Tanga.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo michuzi mimi nitume maombi sitapata presha au anataka kutuambia nini?

    ReplyDelete
  3. ahh anony hapo juu unasema kweli? yaani wa mheshimiwa silipi deni..... ndio anamalizia hela yake kwa kimwana huyo hawalipi ndugu zangu lindi

    ReplyDelete
  4. Hivi kuwa mheshimiwa na kudanganya mnadhani ni rahisi siku hizi eehh!!angetaka kudanganya kama hana mtu angekaa kimya ameamua kuwatoa roho juu na huyo mheshimiwa mliomkomalia kaolewa naye, bado hamridhiki, watanzania acheni umbea na wivu usio wa maana, ndiyo maana wengi wenu hamuendelei. Mtabaki hivyo hivyo na umasikini wenu kwa viroho vyenu vyeusi hivyo.

    ReplyDelete
  5. Anatumikia wananchi wapi mpuuzi tu huyu. Binti mdogo kisa gani kuchukua wanaume za watu. Huyu hatumikii wananchi bala anachangia kuwaletea matatizo wananchi. Tabu zote wanazopata watoto na mke wa mheshimiwa anazisababisha yeye. Alisilimu ili aolewe kumbe jamaa alikuwa sio muoaji bali user tu. Yeye aendelee tu kuzungusha pango lake kwa waheshimiwa wenzie

    ReplyDelete
  6. Michuzi
    hiyo ARUSI YA TAIFA hujaisikia na wewe au unatubania. Tupe basi angalau picha ya huyo bibie au ndiye huyu sijui leila maana nasikia na yeye ni mwanaMTANDAO. Nasikia mwamtandao mmoja katunukiwa arusi ya taifa.

    ReplyDelete
  7. Huyu dada mimi namuona safi... at least sio mpayukaji kama Chifupa. Michuzi hiyo harusi ya Taifa vipi, tuwe kee picha basi

    ReplyDelete
  8. What can these muslims women full in our bunge, develop a Tanzanian women which is the mother of a tanzanian child?
    Ndio maana a tanzanian women na watoto tuko much far behind. A muslim women command her child kujifunza alif, bee, tee....wakati huo huo a, b, c, d.... hivyo ndio walivyowachanganya wazazi wa wengi mpaka leo hata matumizi ya alfabeti hawajui! Kwenye mitihani wanafeil! Idadi kubwa ya watoto wanaofaulu Tanzania kutokana na wizara ya elimu ni waikristo.
    Hawa ndio wanaorudisha elimu ya mtanzania mpaka leo anainunua! Kusomesha mtoto aendelee vizuri mpaka ulipe sio chini ya 100,000tsh kwa mwezi! That's crime! Mimi mwenyewe hapa binafsi ni muislam lakini that's is a fresh bull shit!

    ReplyDelete
  9. alafu kumbe blog hii fake michuzi.mbona jana watu walikuwa wameandika habari nyingi hapa umezifuta.wewe unaacha kitu kinakupendezesha.basi si uifunge..kama unataka kitu cha kuongelewa na kitu kingine si cha kuongelea.

    ReplyDelete
  10. KWANI ULIKUWA HAUJUI.BLOG HII NI KAMA BAR ZA SINZA TU.WEWE UKITAKA MAONI YAKE SIFIA MICHUZI NA MAMISS NDIO MAANA HATA YEYE HAJAOA BADO.

    ReplyDelete
  11. michuzi hapo kweli unatuangusha watu wako. inakuaje maoni mengine huyaweki na mengine huwa unafuta, maoni ambayo hayana matusi wala nini bali tunajaribu kuelekezana. sasa kama hapa kuna watu wanakandia dini mimi kama muislam nikieleza jinsi ninavyoona maoni yangu huyaplay. haina maana basi yakutoa haya maoni kama kuna selection off just group of people

    ReplyDelete
  12. sasa kama hapa kuna anonymous wa august 12, 8:10pm ameongeea upuuzi na kujifanya yeye muislam, lakini tukimjibu huyaweki kama alivyofanya mtu mwingine huko nyuma.

    ReplyDelete
  13. michuzi inalelekea hujui nini maana ya maoni na nini yanasaidia ! maoni kwa kifupi ni ule mtazamo wa mtu sasa kama wewe unaubania mtazamo wa mtu una maana gani ? hata kama katumia lugha gani basi ina maana yeye kuna kitu kafanyiwa mpaka aongee kwa maneno hayo !! rudisha maoni yetu otherwise UFUTE KABISA hii sehemu ya MAONI !!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. michuzi huyo anonoi mshenzi hapo juu anayekandia uislam hana lolote hana chochote ! kama mimi maoni yangu unayafuta kwanini yeye upuuzi wake ubaki ?? au ndio unataka kusema na wewe unauponda uislam na kusifia ujinga au vp, mbona sikuelewi kaka yangu ????????

    ReplyDelete
  15. sorry nilikuwa namaanisha anoni wa 8:01 PM, ni mshenzi na mnafiki

    ReplyDelete
  16. anony huyo ajaponda uislamu, amesema kweli tupu tukiangalia.
    anayetaka kumpeleka mahakamani ajutambulishe niwapambanishe.
    maoni yenu HAYAFUTWA, hakuna kitu kama hiko hapa cha ubaguzi, kutakuwa kuna makosa huko kwenye edb system yenu.

    ReplyDelete
  17. samahani HAJAFUTWA

    ReplyDelete
  18. wee...michuzi...mimi complaint yanguni hiyo anony aliyoongelea kuhusu wanawake wakiislam. Discrimination...b'cus...just as people are multilingual you are allowed to learn deen and have education. I know many educated Muslim women...and hold deen to their heart so whatever your problem is come deal with me cuz I love uneducated fools like you who still have their minds blocked from nineteen kweusi...those women show and they are an example to all Muslim women that you can have deen and have a prestigious job so I support them and Big them up!!Deen allows you to have knowledge of this world and the hereafter so Mtajiju...wee unaweza kufika hapo...??

    ReplyDelete
  19. Michuzi naona umefuta baadhi ya maoni sawa basi mimi nitarudia kwa ufupi kile nilichoandika na ukaona hakifai ukakifuta wakati umeacha maoni yatakayo tupeleka kwenye matatizo kama ya huyu Anonymous wa August 12, 2006 8:10 PM.
    Ok pengine wewe bwana michuzi umeona ni maoni yalio kufurahisha, ila kwa kifupi mimi nasema hivi tena kwa herufi kubwa"WATU KAMA HAWANA PRODUCTIVE OPINIONS WASITUANDIKIE UPUMBAVU" kAMA UTAFUTA NA HII WE FUTA TU ILA NDIO UKWELI WENYEWE.....

    ReplyDelete
  20. wewe sister who ever u r stupid! unapoongea kuhusu wananchi unawageneralize wote na kuangalia statistic! Na ndio hivyo inavyotueleza Tanzania kuwa majorite kubwa ya educated people including kids are those from christian background! si mfano mdoga tu mnauona kwa macho elimu ya zanzibar na bara tu kwanza. Sasa kwa nini mnakimbia kioo? na kinakuonyesha ukweli? Msione wawili wametenda bora ndio mkaona wote kumi na mbili!

    ReplyDelete
  21. Anony at 2:29 am. Umeishiwa kisera!Mtu aliyeishiwa kisera atatafuta kila njia ya kijihalalisha. Kama si udini atajihalisha kiukabila,kama si ukabila basi atajihalalisha kimkoa! Huu ni Ukaburu tu! Makaburu wale wa SA hatukuwapinga kwa rangi zao tuliwapinga kwa sera zao. Hatuwezi kuwa namakaburu humu halafu tuwaangalie tu.........NI MAKABURU !(Nanukuu J.K.Nyerere) Unajua ukitizama kiundani wewe binafsi unayepiga kelele ni mbumbu tu. Na kumbuka kubahatisha kwako kwenda shule usidhani ndio mwisho wa umbumbu. Mbumbu ni mbumbu tu ata akiwa na PHD. Inadhihirisha wazi kutokana na mawazo yako yasiyo namsingi. Kuwa na idadi kubwa ya Waikristo waliokwenda shule sio sababu ya kufanya kuwa wao ndiobora kuliko wengine. STOP THERE! Kuna factors nyingi sana ambazo zilifanya number ya kikristo kuwa kubwa na kati ya hizo Uzembe ni kama asilimia 0.0001. RUDI NYUMA! Factor kubwa sana kati ya hizo ilikuwa ni zama za Ukoloni. GO WAY BACK! Waazungu ndio walioleta kitu elimu(Ya kukaa darasani na kupitia makaratasi). Na walipofika pwani walipata Upinzani mkubwa sana kutoka kwa Waaarabu kwa kuwa wlikuwa wamesha kalia coastal area. So waligo inland ambako walintroduce dini na kujenga mashule na makanisa. So people from Bara just like you "Bwenga" walipata elimu first. Hata ilipofikia wapwani kushtuka ilikuwa number tayari imeshakuwa kubwa kwa upande wa wakistro. Huu ni wakati ambao watu walikuwa hawakubaliwi kusoma misionari school mpaka ubadili dini. Wachache walichange nawengine ndio wakajiita Vingunge vya Mwiru if you know what i mean! I have to give thumbs Up to those few! MBAYA ZAIDI: Baada ya Uhuru Serikali ilichukua madaraka haikuzingatia swala la ku equalize elimu kwa dini zote. Hii ilikuwa njama binafsi mpaka waislamu walipozinduka hapo katika serikali ya awamu ya pili. Sio waislam wote walikuwa wanaferi darasa la saba na form IV nooop there were somethin' goin'on up there! Probably you were too young to know this.!! Anyway to make this story short, jambo la muhimu ni ku mind business zako haya mambo ya hawa Waislam na hawa waikistro yalishapitwa na wakati katika nchi yetu! People don't care much about those bull@##! To have higher toll for your religion or tribe does'nt make you a better person. This ideas have been failed a long time ago in Tanzania. Look on last election! People choose whoever was seemed to be beneficial for them. They didn't care if he is from Bukoba or Coastal regions or even from Church or Mosque! This is a great Tanzania that we're trying to build. Our Pariaments have diferent people in terms of color and religions. I goin' but if you have some ignorants comments to make please welcome I'll educate you one more time. I'll make understand Books and Old fashions building will never make you smarter!! Remember You sound so ingorant with you're fans documents on the wall.! Define education then you will realise that everybody is educated in somekindway!! Malcom X, TUPAC, didn't go Harvard but they had an ability to think much better than Harvadians!!

    ReplyDelete
  22. Jamani Jamani, mimi bado niko gizani, tafadhalini nihabarisheni kuhusu hiyo harusi ya taifa, au ndo hiyo ya JK kuoa mke mpya?

    ReplyDelete
  23. huyu chizi wa 8:39 PM anavyoandika upuuzi wake wote huo anadhani nani mwenye muda wa kupoteza akaenda na kukaa kuanza kuusoma !! summarize yo sh!t next time bro !

    ReplyDelete
  24. Anony at 8:39 unarudi pale pale WATANZANIA HAWAPENDI KUSOMA. Soma kijana, soma vitabu vijarida, peruzi websites ndio unavyoelimika. Kusoma abbot ya mwaka 1800 usidhani ndio elimu. WATANZANIA PENDENI KUSOMA. Stupid!

    ReplyDelete
  25. Ee bana mcihzi. Huyo mwanamke mbunge nakumbuka ulitoa picha yake mwezi Julai. Hebu chekini tofauti hapa:

    http://photos1.blogger.com/blogger/3812/1569/1600/d23.jpg

    ReplyDelete
  26. sawab sawa anon wa 839, unayongea ni kweli kabisa na nakusuport asilimia mia moja. kuna factor nyingi ambazo zinamesababisha na bado zinasababisha namba ya wakirsto waliosoma kuwa wengi kuliko waislam. kama hujui jaribu kuuliza kwa nini kulikuwa na introduction ya kutumia namba badala ya majina katika mitihani ya kitaifa.

    ReplyDelete
  27. mr. michuzi can you defend yourself over these allegations. can you explain why some other comments are posted and other are not or even deleted? get back to us,aight?

    ReplyDelete
  28. Naona hayo maoni yamefutwa kutokana na sababu zenu za kuongelea dini. tukiweza kuongelea udini na kutukana dini moja dhidi ya nyingine kweli tutafika? binadamu wote ni sawa ata kama wewe ni dini gani, tumzungumzie mtu binafsi na sio dini yake.

    Mkiendelea ku-stereotyping maisha ya mtanzania yatakuwa kama ya huku UK ambapo ukiwa una rangi kama ya kutoka Asia au muislamu basi unaonekana kama wewe ni gaidi na kushukiwa, kukamatwa na ata kuuawa.

    Naomba bwana michuzi uweze kutokomeza mambo ya udini na ukabila kwa nguvu zako zote na ikiwezekana futa msgs zote zinazo ongelea mambo hayo ili tuweze kuendelea kuishi wamoja bila ya kujiona tofauti. Ni sisi ndio tutakao ijenga jamii ya baadae hivyo basi tuzidishe mafundisho yaliyo mazuri kwa jamii yetu inayo tuzunguka na sio kujaza maoni tu.

    Mwisho, Mkumbuke ubaguzi uleta matatizo mengi tuliyo nayo hapa duniani na watu kuweza kudharau au kuua jamii nyingine kisa ni asili fulani au dini fulani. Mimi mwenyewe ni mkristo na nina heshimu dini zote na jamii yoyote ile duniani basi nawaomba wote tufanye hivyo.

    Nashukuru.

    ReplyDelete
  29. wewe "HASARA" kumbe na wewe pia ni mjinga kama huyo anon wa 8:39 PM, nani aliyekwambia jina ndio linajulisha mtu dini yake, mbona TARIQ AZIZ wa iraq ni mkristo !! unataka kusema nikiitwa JUMA ina maana mie ni muislam au nikiitwa JOHN mie ni mkristo, haya sasa inaonyesha wewe ndiye huna dini na kama unayo basi unaishushia hadhi maana huna elimu !!!!!!

    ReplyDelete
  30. Samahanini jamani,huyo anony 08:10 P:M anaongea kitu asichokijua kabisa...KWANZA KITU MUHIMU ALICHOHIMIZWA MUISLAM NA M'MUNGU NI ELIMU haijalishi ni ELIMU ya DUNIA wala ya AKHERA...sasa acha kuongea kama uko ndotoni...Dig deep ujue UISLAM una mafundisho gani,
    Hata hivyo tukianza malumbano ya DINI sidhani kama ni wazo zuri sana,kwani kila mtu na imani yake na ingekuwa vizuri kama Imani za watu zingeheshimiwa

    Stay Blessed

    ReplyDelete
  31. anon wa 107 hujanieliwa, sababu ambazo zilipelekea Malima wakati alipokuwa waziri wa elimu kuanzisha utumiaji wa namba badala ya majina ni kwa sababu ya malalamiko yaliyokuwepo kwamba jina la john lilikuwa na chance kubwa ya kuchaguliwa kuliko juma.lakina sijaomgelea kwamba muislam hawezi kuitwa john

    ReplyDelete
  32. Kaka Kigerera jamani huyo dada yuko shule sasa hivi, anasomea political science.

    ReplyDelete
  33. Kaka Kigelela hasomi huyo wala usidanganywe. Labda miaka mitano ya bunge ikipita atarudi shule. Naishi naye jirani ndio maana nina uhakika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...