vijana wa dom wakila tizi uwanja wa jamhuri stediumu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tutambulishe vizuri taifa stars bwana tuweze kuwasponsor na kuwatambua, sio hawa wadom wako bwana.

    ReplyDelete
  2. That's true!

    ReplyDelete
  3. Picha inatia moyo sana. Vijana wadogo na jezi zao na mpira halisi na sio wa makaratasi. Safi. Polepole tutafika.

    ReplyDelete
  4. Bwana Said hapo juu labda kama wewe hukucheza mpira utotoni, mpira huo ni okay. Utashangaa jinsi watoto wenye vipaji wanao uwezo wa ku-control mpira huo hata utashangaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...