hapana, hapa si mji kasoro bahari bali ni mbagala rangi tatu, kitovu cha wakulima wa mboga wa dar wa kusini mwa jiji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Vipi hakuna uwezekano wa kutafutiwa soko nje ya nchi? maboga yanaweza kusafirishwa jamani waziri anasemaje juu ya wakulima ama wao hawamo katika mahesabu ya nchi tangu Uhuru?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...