Home
Unlabelled
mbonji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dah huyu jamaa anakula raha kama wabunge wanavyosinzia bungeni. Hana tofauti na wabunge wanaosinzia ndani ya ukumbi wa bunge huku kikao kikiwa kinaendelea.
ReplyDeleteanony hapo juu acha matusi ya rejareja. kabisa kabisa na akili yako unasema huyu jamaa anakula raha kama wabunge. hivi unajua jinsi vile viti vya bungeni vilivyokuwa komfotabo. Wakati huo huo kuna mshiko unaingia kila dakika inayopita wakati Mheshimiwa Mbunge akiwa amesinzia, Nje anasubiriwa na VX, baadae kuna kuku, bia, muziki kidogo na mama poa wa kumalizia siku. Sasa huyu jamaa amelala juu ya machungwa, hujui mara ya mwisho kula mlo kamili ilikuwa lini, na kila dakika inayopita hapo ni kwamba machungwa yanaelekea kuharibika. Pale hujui kalala kwa njaa au kwa uchovu, nikiangalia vizuri naona kuna inzi kadhaa wanapiga misele...halafu mtu mzima unamfananisha na mbunge...haki ya nani acha matusi ya nguoni kijana.
ReplyDeletehuyu mchizi ana-apply kanuni za physics katika staili ya kivyake vyake. Akipewa mwangaza huyu anaweza kutuletea "nobel physics prize"
ReplyDeleteKilimo cha matunda ni miongoni mwa sekta ambayo serikali ingeweza kuzalisha ajira kibao kama ingekua na mkakati madhubuti wa kujenga viwanda vinavyoweza kutumia haya mazao.
ReplyDeleteUkipita mitaa ya tanga utakuta machungwa yanaozea shambani wakati vijana wanalalamika hawana ajira na wakulima nao wakililia masoko ya uhakika.Hivi kweli serikali imeshindwa kuchukua jitihada za makusudi katika hili eneo.
kaka michuzi picha hii nafikri ulishawahi kututumia miezi ya nyuma klakini kumbukumbu haziji vizuri. unamaana gani................
ReplyDeletekwamba ndiyo watu wanavyopumzika kwenye matunda au ndiyo style za kibongo hizi.