mama akiweka mambo sawa kwenye mchele

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. bongo kwa mission town sasa hawa vijana wana discuss nini? wanachelewesha maendeleo hawa wanataliwa wawe wanachap kazi hakuna viwanda huko muheshimiwa michuzi?

    ReplyDelete
  2. Huyo msichana angekuwa uku ugaibuni angewashinda wengi sana kwa uzuri, maana huku tumeshajifunza kuwaona hata wabaya kwamba ni wazuri, kuna uhaba mkubwa wa wanawake wazuli

    ReplyDelete
  3. Eti JK kaoa mke mwingine?! - picha ziko wapi michuzi?

    Mzee ES au mtu mwingine mwenye habari, Juzi nilikutana na mtoto wa Jaka Mwambi, akaniambia, pamoja na mambo mengine mengi, kuwa JK ameoa mke wa pili rasmi ila kwa harusi ya siri ambaye waandishi wa habari walizuiwa kuandika. Kuna ukweli wowote katika habari hii? Aliniambia pia kuwa huyu mke aliyemuoa ndo alikuwa amfanya first lady ila Kingunge akamkemea!

    Haya mengine yanayojitokeza, watu wengi katika forum hii na BCS waliyatabiri. Kwamba kwa jinsi Kikwete alivyoingia katika urais ingekuwa ngumu sana kujitenga na ufisadi. Hana ujanja yupoyupo katikati ya wafirauni yeye akiwa kiranja wao. Mbaya zaidi inaona urais kwake ilikuwa ni lengo na wala sio njia ya kutatua matatizo lukuki ya nchi hii. Tutatona mengi!

    http://jamboforums.jamboo.co.tz/showthread.php?t=63&page=4

    ReplyDelete
  4. bongo kila kitu deal.bila upepo haujasafisha mahindi..na hiyo tabia ya kukanyagia viatu watu bado tu hawajaacha.si bora mtu ununue kandambili basi!

    ReplyDelete
  5. We njaidi si tuasikia uko ndani nyuma ya nondo baada ya kuiibia kampuni ya HP? au uko ughaibuni net mpaka sello

    ReplyDelete
  6. Njiaidi gani watu kwa kuiba majina ya watu yule anaitwa Othman sio Athuman,kwanza hana time na ujinga ujinga

    ReplyDelete
  7. Hana time na ujinga ??? Mbona anayo sana huko gerezani.. Watu wanajiandaa kumshughulikia.

    ReplyDelete
  8. Ulishapakuliwa nini huko maana mimi ninavyojua jela ya ughaibuni ni safe zaidi maana camera ni 24 hours,na sio kama segerea kulala saa 9 mchana na no ulinzi.

    ReplyDelete
  9. jela gani ziko safe camera si kuzuia wewe kutiwa malaya.na njaidi ujinga alioufanya ni mkubwa kuliko huyo mheshimiwa hapo juu kuandika alichoandika.hauoni ni haibu vitu vile walifanya??

    ReplyDelete
  10. Tena yale manniger yalivyo na 'miguu' mbona itakuwa shughuli. amera ni kuzuia kupigana tuu ila mambo mengine kama kawaida kwa hiyari yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...