mliosoma bongo mnapakumbuka hapa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mzizima hapo michuzi... Kuna watoto wazuri sana hapo(wakina dada) Halafu hao wahindi hapo shuleni wanatoa sana kafala watoto wa watu...Pesa gani sasa kama wewe kazi ni kuloga na kuua watu

    ReplyDelete
  2. ndio mkuu.,thats my alma mater.,nilsoma hapo O levo.,nakumbuka enzi za Mwl. mkuu Thind.,na Div 1 darasa zima. 4K..,shukrani mkuu.

    ReplyDelete
  3. Yule Mr Thind, alikuwa mpiga bakora sana. Nakumbuka Michuzi ulipita siku moja pale.Wakati huo ndio kama umeanza kazi, Miaka ya themanini mwishoni, Jamani kuna anayejua alipo Moses Maji mtoto wa kamanda Maji, nasikia alikwenda Atlanta.

    ReplyDelete
  4. mh!
    sie wengine DAR tumeiona wakati wa kuomba viza tu.

    ReplyDelete
  5. Hey mnanikumbusha mbali enzi ya Mr. Tind! Shule yangu jamani hiyo O-level.

    ReplyDelete
  6. waliosoma mzizima wote watoto wa mama.wewe subiri utawaona ucheki bob wao watakachoanza kuandika hapa.wajanja wote tulikuwa mitaa hiyo azania-jangwa-tambaza-zanaki..kidogo shaban mlikuwa masela.na sketi ya madada kidogo zilikuwa zinatia nyege..sema mlikuwa bangi mtu nyingi..chapa tembo(shule za jioni)mlikuwa na fujo tu nyie.

    ReplyDelete
  7. Kuhusu Moses Maji ulizia watu wa Detroit,MI kama una mtu yeyote unayemfahamu kule, maana wadogo zake wako pale sasa sijui kama na yeye bado yupo au ameshahama.

    ReplyDelete
  8. The guy with the ball needs some basketball basic lessons. Look at him. he just lifted one of his knee, he can't even jump! lift a knee like that could badly injure either his team mates or opponents.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...