mh. zuleikha yunus haji mbunge wa viti maalum mlemavu asiyeona akiwasili bungeni leo tayari kusikiliza hoja na kuchangia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. inapendeza kuona kwamba tuna wa wakilishi wa walemavu,lakini hata hivyo bado tuko nyuma sana katika kulinda haki zao na kuwapa nafasi sawa na watu wengine wote,
    kwa maoni yangu serikali ingejitahidi kuwa na wakilishi wa kutosha na pia kuangali ni jinsi gani marekebisho ya sheria na regulation yanaweza kufanyika ili kuwa nafasi sawa kama watu wengine wote.

    ReplyDelete
  2. inatia moyo kama kila mwenye uwezo anapewa nafasi bila kujali maumbile yake mradi upstairs kunafanya kazi

    ReplyDelete
  3. Mimi nadhani inafaa sheria ya uwakilishi wa watu wenye ulemavu iangaliwe ili kila Wilaya ama mkoa iwe na wawakilishi wa jinsi hiyo, hakuna uwiano wa kiuwakilishi eti vijana na majimbo yanawakilishwa vizuri wakati kundi hli linapewa uwakilishi kiduchu, inafaa pia kuwe na wawakilishi kutoka Vyuo na majeshi, hizi ni sekta ambazo mawaziri wake na wabunge hawaezi kuzielewa vizuri kuliko wenyewe. Namfagilia mtaalamu huyu anayeelekea Bungeni, amependezaa na anawakilisha, lamaana tumjengee confidence ili asijione mnyonge mbele ya akina Sitta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...