Home
Unlabelled
mh. asiyeona
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inapendeza kuona kwamba tuna wa wakilishi wa walemavu,lakini hata hivyo bado tuko nyuma sana katika kulinda haki zao na kuwapa nafasi sawa na watu wengine wote,
ReplyDeletekwa maoni yangu serikali ingejitahidi kuwa na wakilishi wa kutosha na pia kuangali ni jinsi gani marekebisho ya sheria na regulation yanaweza kufanyika ili kuwa nafasi sawa kama watu wengine wote.
inatia moyo kama kila mwenye uwezo anapewa nafasi bila kujali maumbile yake mradi upstairs kunafanya kazi
ReplyDeleteMimi nadhani inafaa sheria ya uwakilishi wa watu wenye ulemavu iangaliwe ili kila Wilaya ama mkoa iwe na wawakilishi wa jinsi hiyo, hakuna uwiano wa kiuwakilishi eti vijana na majimbo yanawakilishwa vizuri wakati kundi hli linapewa uwakilishi kiduchu, inafaa pia kuwe na wawakilishi kutoka Vyuo na majeshi, hizi ni sekta ambazo mawaziri wake na wabunge hawaezi kuzielewa vizuri kuliko wenyewe. Namfagilia mtaalamu huyu anayeelekea Bungeni, amependezaa na anawakilisha, lamaana tumjengee confidence ili asijione mnyonge mbele ya akina Sitta.
ReplyDelete