huyu ndiye miss tz wa kwanza theresa shayo aliyeshinda mwaka 1967 ufukweni mwa bwawa la kuogelea la hoteli ya kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mambo si haba..sema sasa michuzi mie tu ni kuuliza si kwa nia mbaya najuia huyu mama mtu mzima..sema kwa ujana wetu nikiangalioa kila siku nikiingia hapa watu wanachoandika ni kwamba mamiss kwa ujumla ni kwamba wanajidhalilisha..u know vitu kama ivo..sasa mnasemaje pia kwa huyo miss wa enzi hizo..tena na kivazi kile sio mida hii..waungwana changia hapo kidogo..samahani najua mama mtu..

    ReplyDelete
  2. Brother Michuzi nitafutie ukweli wa habari hizi nasikia Flora Kambona (Mkewe Oscar Kambona) ndo alikuwa Miss Tanganyika wa Kwanza Mwaka 1960 nimepata kutoka wa mama yangu lakini sasa keshakuwa mtu mzima hivyo siwezi mbishia ingawa na wasiwasi na memory zake ,Kaka usisahau kutuwekea vionjo vya magazeti ya zamani yenye matukio ya kale kama kifo cha Karume,Nyerere na hata akina Sokoine ,Malima na Kolimba ntashukuru sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...