Home
Unlabelled
miss tz orijino
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mambo si haba..sema sasa michuzi mie tu ni kuuliza si kwa nia mbaya najuia huyu mama mtu mzima..sema kwa ujana wetu nikiangalioa kila siku nikiingia hapa watu wanachoandika ni kwamba mamiss kwa ujumla ni kwamba wanajidhalilisha..u know vitu kama ivo..sasa mnasemaje pia kwa huyo miss wa enzi hizo..tena na kivazi kile sio mida hii..waungwana changia hapo kidogo..samahani najua mama mtu..
ReplyDeleteBrother Michuzi nitafutie ukweli wa habari hizi nasikia Flora Kambona (Mkewe Oscar Kambona) ndo alikuwa Miss Tanganyika wa Kwanza Mwaka 1960 nimepata kutoka wa mama yangu lakini sasa keshakuwa mtu mzima hivyo siwezi mbishia ingawa na wasiwasi na memory zake ,Kaka usisahau kutuwekea vionjo vya magazeti ya zamani yenye matukio ya kale kama kifo cha Karume,Nyerere na hata akina Sokoine ,Malima na Kolimba ntashukuru sana
ReplyDelete