Home
Unlabelled
mwandosya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Makofi jamani kwa Trio Kaka.
ReplyDeletewell spoken Trio kaka.
ReplyDeleteComment 1 tu, ni kuwa viongozi wetu bongo samtaim wanakuwa na mkwala wa kujitokeza ktk public kwenda kuangalia kitu fulani, mapaparazi wakapiga picha 2, 3 anaonekana mtendaji wakati hamna cha maana kinachofanyika.
I hope Mwandosya atakuwa tofauti na hataishia kwenye kutembelea tu na kuishia hapo, bali atachukua hatua zaz makusudi kutatua tatizo hili la taka Bongo na kwingineko TZ.
Mhhh
ReplyDeleteKwa watu ambao hamjui Mwandosya kwenye mambo ya mazingira pitieni kwenye hii website, mambo aliyokuwa anafanya kabla ya kuwa waziri na bado anaendelea nayo.
http://www.ceest.com/directors.html
Someni papers alizoandika halafu mjipime kumshauri kuhusu mazingira.
JIPIME NAYE KWENYE MAZINGIRA
ReplyDeleteMwandosya siyo mtu wa maneno mengi sana wala siyo mtu wa kutumia media sana ili akubalike, naamini ni mchapa kazi mzuri tu, namuomba sana aangalie tenda za ubebaji wa taka mijini wanapeana kwa kujuana matokeo yake tunaona magari mabovu kabisa yanabeba taka na kuzisambaza barabarani tena kutokana na ubovu wa hayo magari, jamani magari ya wazi kama matipa, trela za trekta, pikapu tangu lini zikabeba taka?? wafanyakazi wa haya makampuni ya kubeba taka bongo ukiwaona masikini huwezi kuamini,hawana vifaa vya kufanyia kazi, wanatumia mikono na wakati mwingine wako vifua wazi. manispaliti wanalipa hizi kampuni mamilioni ya hela za walipakodi bila kujali kama wana vifaa vya kubeba au la!.
ReplyDeleteKaka Trio kama mtuanatoa comment zilizo enda shule lazima tukupongeze,maana tumechoka na watu wanaoleta kero humu.
ReplyDeleteAnd that is known as a cheap publicity, All African leaders what they do is to seek publicity and then they do nothing what they remember to do is to corrupt the countries economy for their benefits only and then after that they come to you and asking for your vote and always people they make the very same mistake and elect them again and they (leaders) do the same stupid things as it was before.
ReplyDeleteGood thing to do is to stop them by not giving them your vote.
Since we got independent Tanzania was supposed to be in very far point to the best environment, infrastructure and life to the people, etc.
So you have the power to change all of these stupid system in our country, Instead of them bring development to you, they are bring development and wealthy to their families.
------------>finito
Basi sasa trio kaka toka usifiwe basi unakwenda na kurudi na kutujazia nafasi hapa. Ama kweli ukimsifia mtu bichwa lajaa maji. Inatosha kaka kwa leo wache na wengine wachangie.
ReplyDeleteMwandosa na Mathew Luhanga ni kati ya Engineers waliofuzu. Kwa kweli University of DSM walikosa mtu muhimu sana katika maswala ya Engineering in general. Lakini pia nafikiri nafasi aliyoipata ilikuwa ni muhimu sana na ambayo atakuwa anaimudu sana.
ReplyDeleteNi mchapa kazi kweli kweli alinifundisha darasani nakumbuka alikuwa ana uwezo mkubwa sana wa kueleza kila kitu na kweli ukaona unafundishwa na professor.
nafiki hata kijijini kwake/jimboni kwake nasikia ni kati ya watu walioonyesha kuwa wameelimika sana. Wamefanya kazi kwa kutumia akili na watu wake kweli wanakubali.Siyo mtu wa theory ni practical oriented. Ni kati ya watu wanaodeserve uprofessor kabisa. Kizuri ni kuonyesha kuwa elimu ni kitu cha maana alipo amua kuwekeza kwenye shule/kuanzisha shule mbali mbali katika jimbo lake.
Hizo ndio tunaziita kampeni feki yaani unampigia kampeni hapa hapa, ama kweli we noma mzee. nakuamini. the truth is ni wezi na wala rushwa kwani rushwa haichagui profesa au la. umepata msg, wanajenga shule sasa miaka 40 iliyo pita walikuwa wanafanya nini? kuiba pesa za umma?
ReplyDeleteMwandosya ni mtendaji mzuri lakini bado ana tatizo la unyakyusa la kuendekeza ukabila sana. Mnakumbuka mtambo wa simu alioshupalia ujengwe mbeya wakati akiwa waziri wa mawasiliano? Angekuwa na utaifa asingefanya hilo. ule mtambo kwa sasa upo underutilized kwa asilimia kubwa sana.
ReplyDeleteYou are right Trio Kaka, kiingereza chenyewe cha Msami cha mimi maimuna....inglish not richebo...ukija kwenye pointi hakuna kitu, vapour tupu.....man, Msami you suck big time!!!
ReplyDeleteHuyu Mwandosya ni Muislamu au Mkiristo? Kama Mkatoloki basi chonde watoto wadogo dampo huko? anaweza akajivinjari na mmoja wao akipata mwanya tuu, mh! bora niwafungie wanangu. "keep an eye on him".
ReplyDeletewe Msami unamkosoa trio kaka angalia kiingereza chako chenyewe..
ReplyDeletedo you always starting comments in english
Nafikiri ulimaanisha why do you always start..
Halafu umeandika.. like couple lines.. nafikiri nilimaanisha like a caouple of lines.. au kama unaandika kwa informal English ungeweza kusema coupla lines
Halafu you ending in swahili.. ungeandika end in Swahili..
Hayo ni baadhi tu ya makosa ya kitoto uliyoyaandika katika English yako unayodai kuijua. Umekaa Ohio muda gani kwanza.. kasome ESL basi. Maana naona lugha bado hujainyaka
Halafu zaidi ya hapo.. ushaanza matusi mara 7-inch.. mambo gani haya mtu mzima kama wewe bwana.
Kama unakosoa au kutoa marekebisho ktk post za mtu, haihitaji matusi bwana.
By the way, stori za Bima zimeishia wapi leo? hehe
kaka michuzi samahani,
ReplyDeletehivi hakuna programme au software ambayo inauwezo wa kukufanya uwafungie watu kama MSAMI.maana afadhali angekuwa anaongea pumba tungemsamehe, yeye anaongea zile takataka kabisa ambazo hata jina tumekosa.
mimi nawaomba ndugu zangu ,tuchangie point za msingi na sio fulani kafanya nini.
msami unaonyesha wewe hata nauli ya kurudi bongo hauna au umeoverstay huko maana nahisi umepoteza malengo.
hebu tutumie profile yako tuijadili.usiogope kuongopa katika hiyo profile.kama kwa uzuri mtumie michuzi ili iwe safi zaidi.
Jamani muacheni msami wa watu ajivinjari unajua ukiwa unaondoa stress siyo lazima usifie inabidi uongee chochote hata kama ni utumbo hili mradi upate auweni.
ReplyDeleteMsitumie technologia kumuondoa mimi msami namjua hata airport hapa USA hajui iko wapi kwanza ni wanted kila mahari naomba muacheni hapate pa kuzungumzia wazee wangu.
Nitafurahi michuzi akimuacha asimbani hili ajivinjari make tunaweza kumpoteza mtu hivi hivi.(maanake anaweza kufariki dunia)
For health purpose..Wazili ilibidi awe amevalia vitu ya kujikinga hapo damponi. Watu wa afya wanasema kwa kimombo "PPE,Personal Protective Equipments". Kama vile 'face musk' na suti ya kujikinga na uchafu..
ReplyDeleteNi mambo ya kujikinga na magonjwa..Siyo kama anavyotembea na boti pekee..
Nimerejea tena, maana naona sasa mmeanza tena. Hivi ninyi na Kiingereza chenu kibovu mnataka kutuambia hamfahamu Kiswahili, hasa Msami na Trio Kaka? Naanza kuwashukia kila mkiweka maoni yenu yenye sijui tuite lugha gani labda Kigagagigikoko. Kama mtu unajua umombo si uandike kwa umombo tu? Kama hujui kwanini usiandike Kiswahili pekee. Acheni hizo
ReplyDeleteKuna mtu anajiita msami humu ndani na naomba utumie jina lingine sababu watu wanachanganya hilo jina an msami's wa ohio so please naomba utumie jina lingine
ReplyDeleteWe Michuzi tuma picha za mitaa ya bongo, kariakoo na kwingine uswahilini, vilevile ongea kiswahili kizuri,acha kuchanganya lugha.
ReplyDeleteMgeni.
Wasomi wa Kibongo jamani taaabu kubwa!
ReplyDeleteWamelonga weee na kizungu chao hawakutupatia dawa... Sasa mimi nasema hivi na hizo digree zenu hamna kitu. Mlima wa Uchafu ndio huo na bado upo na bado utaendelea kuongezeka.
dawa yake inatoka kwetu tusiokuwa na Kisomo.
UCHAFU HUO UTENGENEZWE POMBE -GONGO. As alternative energy source.
Gongo, sasa hivi huchanganywa na mafuta kwa matumizi magari na salama.
Kumefunga kazi