makamu wa rais dk. ali mohamed shein akiwa indonesia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Haki ya nani MICHUZI umenikumbusha miaka ya mwishoni ya 90 nilipokuwa Yogyakarta nikisoma nilishatembelea hapa mara kadhaa. Hapa Makamu wa Rais mwaka 2005 alitembelea Hekalu la Borobudur'Candi Borobudur'ni mojawapo ya ajabu la 8 la dunia, lilijengwa miaka ya nyuma sana wakati kabla ya teknolojia ya ujenzi wa majengo ya nakshi na marefu haijaingia. Ujenzi wake ulifanywa kwa mikono kwa kuchonga mawe na kuyapanga kwa ustadi bila kutumia saruji.Sasa hivi ni kivutio kikubwa cha watalii nchni Indonesia.

    ReplyDelete
  2. Kenda lini huko Makamu wa Rais mbona juzi tuuu alikuwa mgonjwa akipata matibabu huko London au picha ya siku ya nyuma sana

    ReplyDelete
  3. alipotoka ktk ziara za kiserikali ndio alikuja london kwa matibabu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...