
Ramadhani Mtolo Ongala a.k.a Dr Remmy Ongala receives from Deputy Minister for Industries, Trade and Marketing David Mathayo David his cheque for 121,779/- shillings being royalties of his work this morning in Dar. Read on....
The Copyright Society of Tanzania (Cosota) this morning started to disburse royalties to its members at a milestone ceremony held at the Business Registration and Licensing Agency (BRELA) in Dar.
Deputy Minister for Industries, Trade and Marketing David Mathayo David was at hand to officiate the historical event that saw 11 of the 670 groups and artistes lined up to receive their pay-offs pocket between 21,000 to 300,000-.
The paymens emanate from some 8,862,000/= collected by COSOTA in the last six months from consumers as per Copyright (Licensing of Public Performances and Broadcasting) Regulations of 2003, according to the society's CEO, Stephen Mtetewaunga.
Among the recipients were Dr Remmy Ongala and Kikumbi Mwanza Mpango a.k.a King Kikii, two of the most prominent Congolese artistes who have since a life time ago were having their work used freely.
Another notable recipient was Ismail Issa, secretary and trumpeter of the defunct Rajabu Marijani's Dar International Orchestra.
kwakweli sitaraji pumba hapa..........tuzungumzie bongo flava au kingereza kitakuwa tatizo.....
ReplyDeletekurahisisha ni kwamba cosota wameanza kutoa magao kwa wanamuziki yaliyopatika toka kwa wauzaji wa kazi zao. na kwenye picha dr.lemmy akipokea shilingi zake 121,779/= kama mauzo ya kazi zake.
twende kazi
Pitia Radio Butiama kusikiliza mahojiano niliyofanya jana na Gwiji la Muziki Cosmas Chidumule.Tumeongelea mengi kuanzia hali ya muziki wa Tanzania na pia maisha yake.
ReplyDeleteRadio Butiama
http://butiama.podomatic.com
Du! Mzee wangu Godwin Kduma ndo kachoka hivyo! Kweli Bongo shughuli pevu!
ReplyDeleteNdugu Michuzi sijui tukueleweje, kwenye lugha yako unatuchanganyia herufi lakini kwenye hii ya kuazima unanidhamu. Hii mi-jamaa ya magharibi imetuwahi sana.
ReplyDeleteNi hatua nzuri sana hii kwa wasanii TZ.Lakini sijui kama mfumo mzima wa hizi ruzuku unafanyaje kazi , maana kwa ujumla, mifumo mingi ya ufuatiliaji ni dhaifu bongo.
ReplyDeleteKwanza natoa SHIKAMOO kwa Mzee Godzilla! Ndo nickname ya Mzee Kaduma hapo kwenye picha. kazi nzuri sana, na nafurahi kuona wasanii wa Bongo wanapewa haki yao. Kwanza naona kama hela waliopewa ni ndogo lakini ni mwanzo mzuri.
ReplyDeleteKweli naungana na Chemi.. sh 121,779 ni utani kwa kweli. Na kuna wengine wamepewa hadi kiasi cha sh 21,000!!
ReplyDeleteIla ndio mwanzo, maana hela yenyewe imekusanywa m 8 tu. Natumanini kazi hii itaendelea na wasanii watalipwa kwa kazi yao.
Alafu uliza wahindi wamepata kiasi gani kwa kuuza kazi zao ni mamilioni ya pesa wakati msanii mwenyewe anakuja kupata kilo tu. Kweli safari ndefu na sijui kama tutafika kwa wasanii wetu kulipwa kama huku kiwanja. Sijui ni nini hasa je umasikini au kwa watanzania kutonunua kazi zao? Lakini tukumbuke kuna wahindi kibao wanapata mamilioni ya shilingi kwa kuuza vipaji vya hawa wasanii! Sasa tufanye nini kuwa inua hawa watanzania wenzetu?
ReplyDelete