Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere huko katika kijiji cha Butiama jana mchana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi hii siyo harusi ya taifa usituzuge kama huna picha si tuambie huna.

    ReplyDelete
  2. hii picha ni ya zamani au ?? kama ya karibuni kwa nini waweke maua kila siku hapo ?? ndio maana bajeti inakuwa na migogoro, kitu kidogo tu utaambiwa imegharimu bilioni 3 hadi 4 ! acheni ujinga jamani ( viongozi )

    ReplyDelete
  3. teh teh teh! Watu ving'atsi, mnataka harusi ya taifa sio??

    ReplyDelete
  4. jamani! hivi nibipu vipi muelewe kamba hakuna kitu kama harusi ya taifa huku bongooooo? hivi hii picha na maelezo vyote meseji iz noti senti????

    ReplyDelete
  5. Jamani kaburi la bibi Titi nalo likumbukwe.

    ReplyDelete
  6. Jamani hio harusi ya taifa ni uongo mtupu msidanganyike,Kikwete ameelimika licha ya dini kumruhusu kuoa tena ,hawezi kufanya hivyo anamweshimu sana mama salma na ndio siri ya mafanikio yake,kikwete angekuwa hivyo angekuwa na msululu wa wake basi,maana ninavyojua mke wake wa kwanza walidivorce miaka ya 80 lakini kama miaka 10 amekuwa akiishi mwenyewe mpaka miaka ya 90 ndio alipomuoa salma aliemtoa kijijini lindi huko,nyie kwa kuwa mnamuona handsome basi mnajua ni mbabaikaji sana jk ni ngangari na wala si malaya kama watu wanavyodhani,mimi namfahamu vizuri sana .

    ReplyDelete
  7. michuzi
    mzee alipokuwa Mwanza kwa mapunziko tulitegemea atakuwa na mama huko lakini mama alikuwa Pemba. Tupe mzee picha za harusi ya taifa usiwe roho mbaya namna hiyo. Kama huna kamuomba Mh. Amina Chifupa labda yeye aliruhusiwa kuingia na kamera.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...