Home
Unlabelled
shada
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hii siyo harusi ya taifa usituzuge kama huna picha si tuambie huna.
ReplyDeletehii picha ni ya zamani au ?? kama ya karibuni kwa nini waweke maua kila siku hapo ?? ndio maana bajeti inakuwa na migogoro, kitu kidogo tu utaambiwa imegharimu bilioni 3 hadi 4 ! acheni ujinga jamani ( viongozi )
ReplyDeleteteh teh teh! Watu ving'atsi, mnataka harusi ya taifa sio??
ReplyDeletejamani! hivi nibipu vipi muelewe kamba hakuna kitu kama harusi ya taifa huku bongooooo? hivi hii picha na maelezo vyote meseji iz noti senti????
ReplyDeleteJamani kaburi la bibi Titi nalo likumbukwe.
ReplyDeleteJamani hio harusi ya taifa ni uongo mtupu msidanganyike,Kikwete ameelimika licha ya dini kumruhusu kuoa tena ,hawezi kufanya hivyo anamweshimu sana mama salma na ndio siri ya mafanikio yake,kikwete angekuwa hivyo angekuwa na msululu wa wake basi,maana ninavyojua mke wake wa kwanza walidivorce miaka ya 80 lakini kama miaka 10 amekuwa akiishi mwenyewe mpaka miaka ya 90 ndio alipomuoa salma aliemtoa kijijini lindi huko,nyie kwa kuwa mnamuona handsome basi mnajua ni mbabaikaji sana jk ni ngangari na wala si malaya kama watu wanavyodhani,mimi namfahamu vizuri sana .
ReplyDeletemichuzi
ReplyDeletemzee alipokuwa Mwanza kwa mapunziko tulitegemea atakuwa na mama huko lakini mama alikuwa Pemba. Tupe mzee picha za harusi ya taifa usiwe roho mbaya namna hiyo. Kama huna kamuomba Mh. Amina Chifupa labda yeye aliruhusiwa kuingia na kamera.