Home
Unlabelled
shekilango
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa michuzi ndiyo unataka utwambie kwamba manispaa kazi hawaezi au hawafanyi hadi kuwe na mtu wa kuwasukuma ,kweli hii balaa sijui kama tutafika tunakotaka kwenda..........
ReplyDeleteHii barabara inajengwa chini ya kiwango,wanatumia foundation ya barabara ya zamani badala ya kuweka mpya, haiwezi kudumu sana
ReplyDeletekuitengeneza ni poa ila waweke matuta.la sivyo watapata ajari sana.mpaka hapo ajari nyingi zaidi watoto wa shule.sijui watu uwa wanakuwa wanashangaa matako ya wanawake wa sinza.yaani mtu anajisahau anastukia ameishawapanda watoto wa shule.
ReplyDeletesana sana pale karibu na kili time sijui sasa hivi inaruhusiwa kulala pale? make kama kibandani kwako mitaa ya sinza kuna joto usiku unaweza kuamia kili-time. Ukapata upepo na huduma nyinginezo.
ReplyDelete