Home
Unlabelled
tff
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tai na makoti kila saa aisee hamsikii joto!!??wa kushoto tai hata hajui imekaa upande..sifa tu
ReplyDeleteKwa hivyo ungependelea wavae Tshirt na jeans?
ReplyDeleteno wavae kaa bibi yako pajama mpaka kanisani
ReplyDeleteEmergency Poison unamaana gani"none of them has ever played even the so called "chandimu"? kama una maana hawa viongozi wa TFF, basi nadhani huna data, Tenga kacheza sana Yanga, Pa-Africa na timu ya Taifa, ni mmoja kati ya wachezaji ambao wameiletea sifa TZ.Magori hajacheza club kubwa lakini kama ni Chandimu nimecheza naye sana pale St.Peter's Junior Seminary katika Umiseta, Franklin Cup na hata mashindano ya mabweni.Hivyo nadhani wanajua wanachokiongoza, sijajua alipokuwa Songea Boys kama Magori aliacha kucheza mpira.
ReplyDeleteEmergency Poison, Jose Mourinho, Manager wa Chelsea hajawahi kucheza mpira kama unavyoelewa wewe lakini ni kati ya Mamenager wanaosikika katika sayari yetu, nadhani upo USA ambako kandanda siyo deal hivyo unakosa habari, Mziray naye hakuwahi kucheza kama unavyoelewa lakini ni Kocha mzuri kwa hapa TZ. Hao akina Tenga nadhani walikuwa wanavuma nyakati zao kama akina Sembuli, Sunday Manara,Kitwana Manara, Kibadeni, Jela MTAGWA, wewe nadhani ulifikiri hao ni akina Dolanga na Wambura.
ReplyDeleteEmergency Poison huwa hana data siku zote.Msipoteze muda wenu kumuelisha,ni mgumu kuelewa halafu mwepesi kusahau.Jamani tuandike mambo ambayo yamefanyiwa uchunguzi kidogo.Sio kuandika kama tunatokea usingizini.ebo!
ReplyDeleteyule bwana wa mwanzo kasema ukweli. kweli aisee dar kuna joto pale kama walikuwa kwenye shughuli ya michezo basi wavae hata jezi ya taifa au chochote unawaona kabisa wanachomwa na jua aisee angalia kwenye nyuso
ReplyDeletewewe anon matako yako..jose maurinho na mziray wako wewe ndo unawatambua makocha.ile chelsea hata ukimpeleka sasa hivi coach ambaye anaweza kuwaweka sawa wachezaji sawa itakuwa timu..na kwa taarifa yako kama unapenda soccer hata uwe usa..utaona mechi sawa na wewe kama uko UK si kitu inawezekana na wewe unaziangalia kwenye luninga kama sisi..hao akina manara na kitwana wamezipeleka wapi timu za tanzania???acha kelele za ushabiki!!
ReplyDeleteWewe anoy wa hapo juu huna busara na upeo, ukisoma alichoandika huyo anoy uliyemsema utajua kuwa wewe huna mawazo ama huwazi kabisa, alichosema mwenzio ni mzinga wa point kuiteketeza point ya Emergency Poison, sasa wewe ndio umechemsha mno, football inahitaji management, kuwa na stars haisaidii,angalia Real Madrid inavyovunda pamoja na kuwa na mastars, wewe ni zimwi kichawani, ndio maana ulianza kwa matusi. TATIZO UELEWA WAKO MDOGO SANA
ReplyDeletepia na wewe uliefuatia unachokiongea wala haujui pia.soccer management na ujuzi pia.pia namuunga sana mkono huyo anoy wa kwanza.angalia germany walikuwa wamesimama wapi.timu nyingi zenye mafanikio coach wao wamecheza mpira.ukitaka crash mtu kwa point.chelsea walikuwa usa kwa huyo mtu wa kwanza aliposema watu hawaoni mpira ila wamefungwa pia na hao watu wasioona mpira.sasa point iko wapi??
ReplyDeleteok.. unaweza kudai kwa Chelsea Mourinho hana kazi maana wote ni wachezaji wakali. Je utasemaje juu ya kazi aliyoifanya akiwa Porto?
ReplyDeleteNa Wenger je? Maana naye alikuwa semi-pro tu; lakini angalia jinsi alivyoibadilisha Arsenal tokea aje.
zaidi ya hapo, Tenga for one najua alikuwa mchezaji mkubwa tu na kama sikosei alikuwemo kwenye kosi lililoenda Nigeria 1980, sina uhakika sana.
Ila ukiachana na yote hayo, uongozi wa chama cha mpira sio lazima utoke kwa wachezaji waliopita. Angalia FA za nchi kubwa kimpira duniani, ni wachache kama kina Platini, Beckenbauer, etc. ambao walikuwa wachezaji.
Hata Joao Havelange (rais wa FIFA 74-98) alikuwa muogeleaji na mcheza Waterpolo (mpira wa majini); hakuwa mcheza soka (at least not professionally).