huu ndio ukumbi unaotegemewa bongo kwa shuhuli muhimu zote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. habari njema ni kwamba nakuja kujenga ukumbi mpya ambao utakuwa suitable kwa ajili ya shughuli hizi

    ReplyDelete
  2. Michuzi huu ukumbi unaitwaje na uko wapi?

    ReplyDelete
  3. Duh, humu wakuja wengi! yaani huwezi kujua kwamba hiyo ni DAIMOND??
    Ndio maana mnakosoa kila kitu kwa sababu hamjui.

    ReplyDelete
  4. hahaha wewe msenge wa juu ujue unamatusi sana!!kwani haujui kuna watoto wale walisoma shule za kulala walikuwa wakirudi ni ndani tu hawjawahi kukatiza mitaa ya upanga!!??

    ReplyDelete
  5. jamani sio suala la shule ya kulala, huyu mtu anonyesha wazi kwamba anajoke.maana kama aliweza kuwa na access ya mtandao maana yake alisoma hata habari za miss.tz na pia mambo mengine usika.anachojaribu kutuonyesha hapa ni kwamba yeye hajui wakati anajua.................kuma la mama yako.

    ReplyDelete
  6. Hivi ukumbi mkubwa kama huu halafu ukiwa full A/C watu wataweza kulipia?

    ReplyDelete
  7. Siwanakazania kulitengeneza bunge tu...Basi na nyie mkiwa na tafrija kubwa kaifanyieni bungeni....
    Andamaneni! Iwasheni moto hiyo Diamond! Ndio serikali itawajengea nyingine.
    Au watuuzie sisi wa Ughaibuni huku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...