Home
Unlabelled
usafiri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee michuzi mimi naona watu wana kikorosho cha bure nina haki ya kuipenda America. Nina Bima safi tu mpya mambo yangu mazuri. Kama siipendi bongo ni shauri yangu sijarudi toka nije kiwanja lakini naona watu wananionea gere, kwa maisha hayo unayo nionesha BONGO sijakanyaga. Ni mimi nimeamua hivyo wanaopenda kuja huko wacha waje mimi sina cha ku investi mzee nita investi huku huku. Nimepachagua ndiyo nyumbani kama hao wanao chagua bongo. Uliza hapa Ohio kila mtu ananijua ni ALWATANI sasa bongo niwekeze nini kama hali ndiyo hii Mjomba? maisha KUBANGAIZA, sasa niko poa washkaji msinionee GERE ni mambo ya festi world mzee.
ReplyDeletemsami mbona unachemsha kama hutaki bongo wewe tulia huko huko watu kibao tumerudi na tunaendelea vizuri huna haja ya kutupa siri za bima una finasi bili mpaka matakoni. chamoto unakiona tumefanya sana huo mcezo na hatukuona matunda yake kaa kimya chana hicho kitabu cha benki polepole. Omba afya yako iwe nzuri maana double hutapiga hospitali
ReplyDeleteHata kama unaendesha bima huna furaha 100% kama nyumbani unawaona ndugu zako,unaongea mother tongue yako,lakini chini ya watu ni nchi ya watu sheria inakubana huna freedom na haki kama nyumbani,money is nothing when it comes to happiness bwana acha ushamba wewe bimabima nini kwani huku magari hamna?
ReplyDeletemaeneo gani hayo michuzi hapo sio chamwino jamani??? tafadhali niambie
ReplyDeleteTunajua kwamba ukiwa ughaibuni mpaka uendeshe japo bima lazima uwe na illegal issues kama kuuza drugs na ukifanya hivyo maana yake hukusoma, sasa huku bongo watu wamepiga buku na wameajiriwa na makampuni binafsi, kama ni usafiri watu wanatumia 4WD cars kama L/cruiser hizo bima huku wanaendesha watoto waliozamia SA, wakirudi lazima aje nazo kama 3
ReplyDeleteDuuh,
ReplyDeleteMichuzi babake umenikumbusha mitaa ya Msamvu hiyo mwanangu karibu kabisa na Mtawala pale machinjioni sioo! Asante ndugu yangu kwa kunikumbusha home
Msami hujatulia wewe, na kama ungekuwa demu basi ungemkimbia mumeo kwa maisha yake na kumkimbilia mume wa jirani yako kwa sababu tuu ana kisu kikali. Ungekuwa unanuka manii ya watu wenye fweza tuu.
ReplyDeleteNa wewe rhxoqsa nani kakwambia kuwa ukiuza Drugs basi maana yake hujasoma? faza ondokana na Kasumba zako hizo. Kuna msemo wa kizungu unasema hivi
ReplyDelete"Behind every great fortune, there's great crime"
Wasomi wanauza drugs kuliko wasiokuwa wasomi kwa taarifa yako.
Anyway, inawezekana kwako wewe muuza Drugs ni yule "street pusher". kalaghabao na ubozi jako