madaktari wa jadi wa kimasai kazini bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huu ni wizi wa kimachomacho hawa washenzi ninge pata urahisi ningewatimua wajinga kabisa ndiyo wa kwanza kusema wanatibu Umeme kumbe wanatomba kina mama kavu. nikipaTA URAHISI NAWATIMUWA WOTE.Mnasemaje watoa maoni?

    ReplyDelete
  2. Wamasai hawana hizo jamani unawaonea,ndio maana uganga wao wako open hapo barabarani,ni mitishamba shamba tu,hawana mambo ya ramli wala nini wewe unasema shida yako unakupa dawa za mizizi ukatumie,mimi kama demu walinipa dawa nilikuwa na tatizo la kutoka ndevu na zikaacha kutoka,na kweli survey yangu hata wanaume wao wanaitumia kama after shave hawatoki ndevu sana so usumbufu wa kunyoa sio sana,kwanza ukienda na nia ya kumroga mtu sijui wanakutoa baruti waganga wabaya ni hawa wanaojidai mpaka wanalaza na kupiga ramli,na hamna bei fixed hao ni matapeli ,mmasai dawa bei ziko fixed kama hawezi akuambia na wako kwenye open space kama hapo unapoona.

    ReplyDelete
  3. unajua si haki kutuita washenzi...hata kama kuna mmoja alikuingiza kingi huwezi kutujumuisha wote kwenye lugha yako katili,nashukuru kwa dada hapo aliotoa maelezo ya kufafanua kuwa yeye alipewa dawa na imefanya kazi,ila kama yuko ndugu yangu alilala na ndugu yako wa kike inawezekana ikawa kwa makubaliano yao,labda umuulize huyo ndugu yako wa kike ilikuwaje haswa akalala na mmoja wetu maana kama ingekuwa kabakwa sheria ingechukua mkondo wake!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...