Home
Unlabelled
karibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MIMI NINASHANGAA HIYO BIASHARA YA U MISS TANZANIA, KWANI INAONEKANA HAUWEZI KUWA MISS MPAKA UWE MTOTO WA FULANI! NA HAO MAFULANI WENYEWE(WAZAZI WAO) WANA SURA KAMA WANAGRILL MAVI! KAMA PICHA YA HUYU WEMA NA YULE BABA YAKE. SASA HAPO MBONA KUNA UTATA KIDOGO! KWANI WANAWAPITISHA KWA KUWAPASISHA MASWALI, SIO UZURI! HALAFU BAADAE ETI "HUYU NDIO ANYEONGOZA PIA KWA AKILI NA ADABU" SABABU NI MTOTO WA FULANI!
ReplyDeletechikomoo kaka michuji!!!!kabaya,na kuvaa hajui hio sherehe ya nini mbona kavaa kama bitch?hayuko presentable i mean simaanishi avae suti,no naona hizo nguo zimemfanya awew mtoto zaidi.
ReplyDeletesi bora hata angekuwa mtoto,nguo gani kavaa kisketi cha jeans na kiblausi cha 150 bwana cha kunyofoa tu pale magomeni kwenye sagula sagula ahhh....
ReplyDeleteMichuzi hapa umefanana na Jenerali ulimwengu sana.
ReplyDeleteHuyu mtoto hakujua kuwa anakwenda kwenye part ya kupongezwa hadi akaamua kuvaa hivyo? Jamani hebu apatiwe mshauri nasaha!
ReplyDeleteNdio kutoka kwanza afanyeje jamani? Mue mnamshauri ili abadilike. Msimkwaze sasa hivi.
ReplyDeleteJamaa eeh pamoja na mawazo yenu mazuri yakutaka wabongo wafiche miili yao, napenda kutofautiana na nyie kuwa huo sio utamaduni wetu. Wakwetu ni kuanika miili yetu hadharani. Ni wapi ulishawahi kuona mwanamke anachomoa ziwa na kuanza kunyonyesha mbele ya kadamnasi kama siyo Afrika tu?
ReplyDeleteMbona umekuwa shai, usione haya, wewe ni townboi na msela fresh, mbona unatuaibisha bwana - enzi hii, taimu ya kupiga mabwata
ReplyDelete