ukiwa mpenzi wa bwawa la maini hutotembea peke yako

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Niliona jamaa aki-pose hivyo hivyo kwenye sinema ya Kung-Fu!

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli mimi kama Arsenal / Yanga naona hiyo timu ya bwawa la maini imejitahidi msimu uliopita ila subirini this time mtakiona cha mtema kuni.

    ReplyDelete
  3. Jersey nzuri sana hiyo.

    Radio Butiama
    http://butiama.podomatic.com

    ReplyDelete
  4. semkae!
    una ngapi. mi niko tayari kuweka dau lolote; sio tu hamtuwezi, bali pia hamfiki kokoooote!

    ReplyDelete
  5. Kwako Chemi...
    hapa michuzi alikuwa anakula "dana dana" kutumia goti la kulia kama hiyo 'pozi' inayoonekana...au sio wenzangu??

    ReplyDelete
  6. sasa mimi naomba tuwakaribisheni Emirates Stadium halafu muone jinsi itakavyokuwa. Unakumbuka msimu uliopita?

    Kama Dau naweka kwa ajili ya mechi kati yetu na nyie. Unasemaje hapo?

    ReplyDelete
  7. wewe ongea vitu vya msingi acha ujinga...una timu mwaka huu?

    ReplyDelete
  8. sem! nakwambia usije lia. we sema una ngapi. halafu kama alivosema anony 10:01, we huna chako mwaka huu. achana kabisa na sisi yu neva wok aloni. sema, una ngapi? halafu we semkae usijibaraguze... mna ngapi? mkitia mguu safari hii mna tarana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...